Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
mmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati anashinda Ms Tanzania mwaka 2006 alikuwa 15.Habari ya jumapili, wale mnaenda kusali ibada njema.
Miaka inaongezeka miaka inabadilika ila sio umri wa wasanii wetu.
Huu ni mwaka 2019, wema sepetu ana miaka 28, Hamisa ana miaka 24 ingawa mwaka juzi alidai alianza kutoka na Diamond akiwa na miaka 14, yaani alupomaliza tu la saba akaanza kula uroda na Diamond.
Wema yeye mwaka 2006 aliukwaa umisi Tanzania, sheria za umisi ni uwe na miaka 18 hadi 22, ukichukulia mwaka 2006 alikua na miaka 19, jumlisha 13 hadi 2019 ni miaka 32, ila yeye anadai ana 28, nimesoma hesabu ila hizi za wema ni hesabu mpya kwenye maisha yangu, labda watoto wetu watakuja kuzisoma.
Wasanii wa bongo kila mwaka ni besidei ila hawasemi ni miaka mingapi, Lady JD kila mwaka anafanya besidei ula hasemi miaka yake ingawa waliosoma nae darasa moja wako kwenye early 50s na wengina late 40s. Umri kwa wasanii wa bongo ni kama dhambi, hawataki ijulikane.
Irene uwoya kila mwaka ni besidei ila kwa miaka isiyojulikama, unasikia tu ametimiza miaka kadhaa. Juzi nimesikia bondia Dulla Mbabe ana miaka 21, nilihisi kufa, Diamond yeye kila mwaka ana miaka 28.
Ukienda kwenye mpira ndio balaa, unakuta mchezaji ana mdogo wake wa kiume, huyo mdogo wake ana mtoto wa miaka 15, chukulia huyo mdogo wa mchezaji alipata mtoto akiwa na miaka 15 au 16 ila kaka yake ambae ni mchezaji yeye ana miaka 23, yaani kumbe Tanzania inawezekana kabisa mtu kumzaa kaka yake aliemtangulia kuzaliwa.
Karibuni tunywe chai.
30 kwa mahesabu yapi hayoWema ana miaka 30 kwa mujibu wa yeye mwenyewe sasa wewe hiyo 28 sijui umeitoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine!30 kwa mahesabu yapi hayo