Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota.

Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
 
Mpira auna mizimu wala nyota kung'aa, Soka ni uwekezaji na scouting nzuri. Simba mpaka leo inahangaika na kipa na inataka ishinadane na Yanga maswala ya ubingwa kwa sasa msahau.
Ubingwa auna zamu ni uwekezaji na mipango thabiti.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Simba ya mwaka huu hata ikicheza bila kipa utopolo hawezi kufunga hata goli Moja . Na hata eneo la meta 30 uto hawezi kufika.
 
Mkuu njoo tuwekeane dau. Mimi nasema Simba anachukua ndoo ya ubingwa msimu huu. Naweka laki 1
 
Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota.

Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
Kwe swala zima la nyota hua namuaminigi Mshana Jr tu, ngoja aje atie neno kwenye hili.
 
Simba ya mwaka huu hata ikicheza bila kipa utopolo hawezi kufunga hata goli Moja . Na hata eneo la meta 30 uto hawezi kufika.
Ki msingi bila TFF kuingilia kati ili Simba wawe wanacheza maximum wa nane uwanjani kuna timu ikiwemo Atletico De Uto watakufa nyingi sana.
 
Maneno haya ya kujinga bado hamjaacha nyinyi si ndio mliesema kuwa yanga wamejaza bendi ya kongo na hao hao mliowaponda wakanyanyua makwapa yao wakichukuwa ndoo zote mbele yenu huku mkitanga tanga mtaani kutafuta cha kujiliwaza ila muda utaongea ipi mbivu ipi mbichi
 
Mkitaka mtapigwa msipotaka mtapigwa inshort kipigo kwa vyura hakiepukiki...
.
FB_IMG_1689943428813.jpg
 
Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota.

Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
Uganga huo.
 
Tumeanza kuwazoea sasa. Tunajua mwisho wenu wa kelele za furaha ni mwezi April, na hapo ndio kibao hugeuka. Kwa sasa tambeni watani tambeni kwelikweli maana muda wetu wananchi bado haujafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kuuimbia mpira!sisi yanga tunauishi mpira!kwetu sisi muhimu ni point 3 na mwishowe kwapa tunanyanyua
 
Hazina Namba Moja ya Timu ni usajili.
Sio Nyota, UCHAWI Wala USHIRIKINA.
NCHI za Kiislamu Arabic Zina mambo ya Nyota lakini hazijawahi KUCHUKUA kombe la Dunia.

Nigeria Ina WASHIRIKINA vibaya mno hajafika popote.

Mobutu alipeleka waganga 13 kombe la Dunia
ZAILE NA YUGOSLAVIA MECHI IKAISHA
YUGOSLAVIA 9
CONGO. 0
 
UCHUMI.SIASA, JAMII.

MENGINEYO.

1. Usajili Bora.
2 . Uongozi Bora.
3. Academy Bora.
4. Viwanja Bora vya Mazoezi.
5. Wataalam WA Benchi la Ufundi.
6. Wachezaji Bora.
7. Nidhamu kujituma kunia mamoja, Umoja .
8. Mashabiki support.
 
Back
Top Bottom