Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Simba ya mwaka huu hata ikicheza bila kipa utopolo hawezi kufunga hata goli Moja . Na hata eneo la meta 30 uto hawezi kufika.Mpira auna mizimu wala nyota kung'aa, Soka ni uwekezaji na scouting nzuri. Simba mpaka leo inahangaika na kipa na inataka ishinadane na Yanga maswala ya ubingwa kwa sasa msahau.
Ubingwa auna zamu ni uwekezaji na mipango thabiti.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We huna akiliMpira auna mizimu wala nyota kung'aa, Soka ni uwekezaji na scouting nzuri. Simba mpaka leo inahangaika na kipa na inataka ishinadane na Yanga maswala ya ubingwa kwa sasa msahau.
Ubingwa auna zamu ni uwekezaji na mipango thabiti.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu njoo tuwekeane dau. Mimi nasema Simba anachukua ndoo ya ubingwa msimu huu. Naweka laki 1Mpira auna mizimu wala nyota kung'aa, Soka ni uwekezaji na scouting nzuri. Simba mpaka leo inahangaika na kipa na inataka ishinadane na Yanga maswala ya ubingwa kwa sasa msahau.
Ubingwa auna zamu ni uwekezaji na mipango thabiti.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwe swala zima la nyota hua namuaminigi Mshana Jr tu, ngoja aje atie neno kwenye hili.Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota.
Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
Ki msingi bila TFF kuingilia kati ili Simba wawe wanacheza maximum wa nane uwanjani kuna timu ikiwemo Atletico De Uto watakufa nyingi sana.Simba ya mwaka huu hata ikicheza bila kipa utopolo hawezi kufunga hata goli Moja . Na hata eneo la meta 30 uto hawezi kufika.
ukiamka usimuhadithie mtu yoyote hii ndoto uliyoota.Simba ya mwaka huu hata ikicheza bila kipa utopolo hawezi kufunga hata goli Moja . Na hata eneo la meta 30 uto hawezi kufika.
.Mkitaka mtapigwa msipotaka mtapigwa inshort kipigo kwa vyura hakiepukiki...
Uganga huo.Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota.
Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
Usiishi ki mazoea nyakati hubadilika mkuu.Tumeanza kuwazoea sasa. Tunajua mwisho wenu wa kelele za furaha ni mwezi April, na hapo ndio kibao hugeuka. Kwa sasa tambeni watani tambeni kwelikweli maana muda wetu wananchi bado haujafika.
Sent using Jamii Forums mobile app