Huu ni mwaka wa tatu sasa, atakuwa ananionaje? This is too much

Huu ni mwaka wa tatu sasa, atakuwa ananionaje? This is too much

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Huyu mdada toka nimemfahamu mwaka 2016 namfuatilia na kumsihi anipe nafasi nami ni-enjoy uzuri wake; nimekuwa nikimsihi sana anipe lau nafasi moja kuupoza moyo wangu.

Ananaambia nisubiri kwanza ananichunguza. Khaaa! ananichunguza nini miaka 3? Mpaka nawaza, je ananichunguza kama ntaota mkia au mapembe?

Ukimchunguza sana bata humli. Yeye ananichunguza ili iweje? Zawadi zangu hazichunguzi, anapokea tu; pesa hachunguzi natoa wapi, anapokea tu.

Nmemuuliza: "We fulani, ina maana ni bikra?" Ananambia we subiri tu utaona. Simwelewi nimechoka, kama mtu kuwa chini ya uchunguzi ndo inakuwa miaka 3.

Anataka nini? Natamani kumwambia alale mbele tu, napiga moyo konde kuwa angalau siku moja nipoze moyo wangu maskini.
 
Atakuwa ana jamaa ila jamaa anaonekana hasomeki someki hivyo wewe unaweza ukaja kuwa mbadala kama jamaa akiendelea hivyo hivyo,
Huyu mdada toka nmemfahamu mwaka 2016 namfuatilia na kumsihi anipe nafasi nami ni enjoy uzuri wake.nimekuwa nikimsihi sana anipe lau nafasi moja kuupoza moyo wangu.

Ananaambia nisubiri kwanza ananichunguza....khaaa ananichunguza nini miaka 3? Mpaka nawaza je ananichunguza kama ntaota mkia au mapembe?

Ukimchunguza sana bata humli.yeye ananichunguza ili iweje?zawadi zangu hazichunguzi.anapokea tu.pesa hachunguzi natoa wapi.anapokea tu.

Nmemuuliza we flani ina maana ni bikra?ananambia we subiri tu utaona.simwelewi nmechoka kama mtu kuwa chini ya uchunguzi ndo inakuwa miaka 3. Anataka nini?natamani kumwambia alale mbele tu a napiga moyo konde kuwa angalau siku moja ni poze moyo wangu maskini.
 
Hana uhakika na mahusiano yake ya sasa so endelea kuwa pending huku ukiomba kule aliko mambo yaende vibaya,
Atarudi kwako mchumia juani
 
Mkuu unewekwa pending. Cha kufanya na wew mtafte mwingne na yy muweke pending. Awepo tu but usimpe kipaombele kivilee
 
Kesi yako ya mauaji ni nzito sana, hivyo bado unachunguzwa ila vumilia tu.
 
Mkuu acha kuniangusha,umevumilia miaka mitatu,leo tu ndio ukimbie,umekula ngombe subiri mkia umalizie upate sifa ya kula ng’ombe mzima.
 
Wewe umefanywa kama kale kaspare tyre kale kadogo kanakoitwa mguu wa jini
 
Tulia

Cheza kwa step

Tafuta mwengine huyo kashakufanywa. Second choice muweke pemben

Kwakua umemuhonga vya kutosha ukimuacha hivihivi utakuwa ni uboya wa Hall ya juu cha kufanya

Zidisha kuonyesha kumjali msaidie pale anapokwama muonyeshe unampenda kweli kweli ukikutana nae usiwe unamsumbua kumwambia ombi lako instead zungumza mazungumzo ya kujenga MPE ushauri be funny sometimes put smile on her face

Mjulie hali kila kukicha huku ukiendelea kuwepo na yule anaekuthamini Ila asijue

Baada ya kumpata ukijafidia hongo zako na wewe mfanye second choice sepa zako
Nenda kwa yule uliemtafuta

Io nuoto in un oceano d'amore
 
Huyu mdada toka nimemfahamu mwaka 2016 namfuatilia na kumsihi anipe nafasi nami ni-enjoy uzuri wake; nimekuwa nikimsihi sana anipe lau nafasi moja kuupoza moyo wangu.

Ananaambia nisubiri kwanza ananichunguza. Khaaa! ananichunguza nini miaka 3? Mpaka nawaza, je ananichunguza kama ntaota mkia au mapembe?

Ukimchunguza sana bata humli. Yeye ananichunguza ili iweje? Zawadi zangu hazichunguzi, anapokea tu; pesa hachunguzi natoa wapi, anapokea tu.

Nmemuuliza: "We fulani, ina maana ni bikra?" Ananambia we subiri tu utaona. Simwelewi nimechoka, kama mtu kuwa chini ya uchunguzi ndo inakuwa miaka 3.

Anataka nini? Natamani kumwambia alale mbele tu, napiga moyo konde kuwa angalau siku moja nipoze moyo wangu maskini.
Endelea kumpenda wala usimuulize tena kama kakubali....muoneshe upendo kwa vitendo tu atakuja mwenyewe
 
Your second selection subira ya vuta heri bandugu
 
Wewe ni maskini kweri.
Kuendelea hivyo sio tu kufa bali utazaa maskini pia.
 
Sasa apo mwenye tatizo nani zaidi yako au unataka uje kumlaumu siku ukijua bado anaendelea na x wake uku yuko nawe Akupendi mkuu angalia pengine
 
Back
Top Bottom