pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Ujuavyo wewe uchawi unasaidia kwenye mpira?Mnatumia uchawi laivu laivu?
Mmetutia aibu sana kama taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuavyo wewe uchawi unasaidia kwenye mpira?Mnatumia uchawi laivu laivu?
Mmetutia aibu sana kama taifa.
Unateseka ukiwa wapi?That is Simba!Mnatumia uchawi laivu laivu?
Mmetutia aibu sana kama taifa.
Wewe kufika huko mbele imekusaidia Nini? Kwenye mpira Ndio Ndio inaheshimika na sio kusema nimefulia nusu fainali mara 15 halafu haijawahi hata fila fainali.Aibu kubwa anatupa yanga. Since 1998 makund duuh
Huyo sasa ni KijolaKitenge kajiaibisha sana.
Ngulukizi nimependa hii usernameView attachment 1675437Haya ngoja tuwaongezee wachambuzi njaa
Aaah nafikili umeshawahi kusikia hii kituNgulukizi nimependa hii username
Ndiooo engulukiziiii 😂😂😂😂Aaah nafikili umeshawahi kusikia hii kitu
Hapa ndio mie nashindwa kuelewa. Alafu hatupagiwi majibu sijui kwa nini? Au wadhungu uganga wao ni wa level nyingine kabisa tunaushindwaHivi Mbona hakuna nchi Africa imewahi kuchukua kombe la dunia au kufika fainali kama uchawi ndio unacheza mpira?