BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa fani yangu ya pictorial observation and analysis,millard ayo,anawadanganya watanzania walio wengi, ameandika kwamba hii ni mbezi chini!View attachment 43867
wewe mwanajamii unaonaje
Sasa huo mlima nyuma ya hiyo nyumba upande wa kushoto ni mlima gani?Ni kweli maporoko yapo
Msimtwishe kijana uzito mkubwa namna hiyo wa uongo! Wangapi wamewahi kufika Mbezi ya Manilla, Philipines? Hamkuona kimbunga kilivyopiga na kusababisha uharibifu mkubwa kule? Sasa uongo wa Ayo uko wapi? Ushamba wenu tu wa kutokutembea...kwa fani yangu ya pictorial observation and analysis,millard ayo,anawadanganya watanzania walio wengi, ameandika kwamba hii ni mbezi chini!View attachment 43867
wewe mwanajamii unaonaje
Msimtwishe kijana uzito mkubwa namna hiyo wa uongo! Wangapi wamewahi kufika Mbezi ya Manilla, Philipines? Hamkuona kimbunga kilivyopiga na kusababisha uharibifu mkubwa kule? Sasa uongo wa Ayo uko wapi? Ushamba wenu tu wa kutokutembea...