huu ni udanganyifu..

huu ni udanganyifu..

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
kwa fani yangu ya pictorial observation and analysis,millard ayo,anawadanganya watanzania walio wengi, ameandika kwamba hii ni mbezi chini! ayo.jpg
wewe mwanajamii unaonaje
 
kwa fani yangu ya pictorial observation and analysis,millard ayo,anawadanganya watanzania walio wengi, ameandika kwamba hii ni mbezi chini!View attachment 43867
wewe mwanajamii unaonaje

Duh! Fiksi mchana mchana kabisa!! Hiyo housing style si ya bongo!! Bongo bado hakuna nyumba nyingi za fibre!!
 
attachment.php

Nimejaribu kuangalia tena na tena sijajua wapi hapa..ngoja nirudi Kigogo kwetu.
 
Jamani millard anatafuta hits kwenye web yake mshaara mdogo jamani nae anataka atoke kwahyo sponsor wakiona hits nyingi ataingiza pesa,ila kiukweli millard ayo anatudanganya hiyo pic sio ya mbezi kabisa
 
Hiyo labda ni "dream home" yake imeenda na maji.
 
  • Thanks
Reactions: mka
Kwa mbali kuna watu na mmoja kavaa koti jeusi. Mbezi ipi watu wanavaa makoti?. Dogo kachemka
 
kwa fani yangu ya pictorial observation and analysis,millard ayo,anawadanganya watanzania walio wengi, ameandika kwamba hii ni mbezi chini!View attachment 43867
wewe mwanajamii unaonaje
Msimtwishe kijana uzito mkubwa namna hiyo wa uongo! Wangapi wamewahi kufika Mbezi ya Manilla, Philipines? Hamkuona kimbunga kilivyopiga na kusababisha uharibifu mkubwa kule? Sasa uongo wa Ayo uko wapi? Ushamba wenu tu wa kutokutembea...
 
hivi mbeya au dodoma kuna mbezi au!!! maana huo mlima nashidwa elewa kabisa haufanani na makongo juu wala bonyokwa
 
Msimtwishe kijana uzito mkubwa namna hiyo wa uongo! Wangapi wamewahi kufika Mbezi ya Manilla, Philipines? Hamkuona kimbunga kilivyopiga na kusababisha uharibifu mkubwa kule? Sasa uongo wa Ayo uko wapi? Ushamba wenu tu wa kutokutembea...

hahahahah.......Anafikiri sisi ni vilaza kama yy.
 
Hio nyumba ni iko US,na ilitokea kipind cha mafuriko juz juz baada ya tetemeko
 
muongo mkubwa, hiyo siyo bongo kabisa hata mimi nilimstukia.... si angesogea pale jangwani au kigogo apate picha za kweli.
 
Simple aina ya udongo tuu inatosha kujua kuwa apo si mbezi!
 
Back
Top Bottom