Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Habari za muda huu madaktari....
Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo.
Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa 4) mpaka jioni. Na pia, akiwa porini anapenda kulala au kusimama sehemu kwa muda mrefu(nikama anapumzika).
Wa pili ni dume. Kwanza na yeye hashibi vizuri. Pia, Huyu ngozi yake inatoa madude kama usaha, lakini magumu afu yaota kama upele, yamefanana na vile viupele vya mbuzi(navifahamu kwa jina la UBUBURU), afu yametambaa eneo la mgongo lote.
Mara ya kwanza yalitokea kwa ngombe wa 3. Daktari alikuja akachoma sindano, tukasafisha, mambo yakawa bien. Ila sasa kwa dume yamerudi. Wengine wako freshi, kasoro jike mmoja ambaye nimemuelezea hapo juu ila huyu saivi hana haya madude.
Msaada tafadhali.