Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
sawa sawa.muite huyo daktari tena aje afanye kazi
Lump skinny hiyo mchome antibiotics na vitamin kisha mpake dawa ya kuzuia nzi wasimguseHabari za muda huu madaktari....
Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo.
Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa 4) mpaka jioni. Na pia, akiwa porini anapenda kulala au kusimama sehemu kwa muda mrefu(nikama anapumzika).
Wa pili ni dume. Kwanza na yeye hashibi vizuri. Pia, Huyu ngozi yake inatoa madude kama usaha, lakini magumu afu yaota kama upele, yamefanana na vile viupele vya mbuzi(navifahamu kwa jina la UBUBURU), afu yametambaa eneo la mgongo lote.
Mara ya kwanza yalitokea kwa ngombe wa 3. Daktari alikuja akachoma sindano, tukasafisha, mambo yakawa bien. Ila sasa kwa dume yamerudi. Wengine wako freshi, kasoro jike mmoja ambaye nimemuelezea hapo juu ila huyu saivi hana haya madude.
Msaada tafadhali.
Pole sana ndugu kwa hilo tatizo, ni kweli inawezekana kabisa ikawa lump skinny, kama mkuu alivyo shauri hapo pia nakushauri umtenge na wenzake kuzuia maambukizi zaidi, inaonekana ukishafanya matibabu huwa hautengi mnyama ambaye ni mgonjwa, na ufanye usafi kwa mifugo wako kwa kubadili dawa za kuwaogeshea mara kwa mara hii husaidia kuuwa vimelea vya magonjwa shambani mwako. Mwite yule Vet wa kwanza muweze kusaidiana na kushauriana kwa ukaribu zaidi.Habari za muda huu madaktari....
Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo.
Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa 4) mpaka jioni. Na pia, akiwa porini anapenda kulala au kusimama sehemu kwa muda mrefu(nikama anapumzika).
Wa pili ni dume. Kwanza na yeye hashibi vizuri. Pia, Huyu ngozi yake inatoa madude kama usaha, lakini magumu afu yaota kama upele, yamefanana na vile viupele vya mbuzi(navifahamu kwa jina la UBUBURU), afu yametambaa eneo la mgongo lote.
Mara ya kwanza yalitokea kwa ngombe wa 3. Daktari alikuja akachoma sindano, tukasafisha, mambo yakawa bien. Ila sasa kwa dume yamerudi. Wengine wako freshi, kasoro jike mmoja ambaye nimemuelezea hapo juu ila huyu saivi hana haya madude.
Msaada tafadhali.
Mungu akubariki sana na kukujaalia kuweza kufanikisha uponyaji ktk mfugo wako.Magezi bugaga, MUBENDE, barikiwa sana naanza kazi mara moja, SHUKURANI.