Huu ni ugonjwa gani?

Huu ni ugonjwa gani?

Elichapo

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
13
Reaction score
7
Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !
 
Attachments

  • IMG_20180713_233256.jpg
    IMG_20180713_233256.jpg
    426.9 KB · Views: 80
Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !
Hiyo ni Genital warts.(masundo sundo)

Wanasababishwa na Human Papillomavirus.

Ukienda hospital utaandikiwa ukanunue dawa inaitwa Podophyllin.
Watakwambia ni Podophyllin ya yenye percentage ngapi maana inatengenezwa kwa percentage tofauti tofauti.
Application yake ni kupata kwa kutumia pamba stick maana ni nzito kama grease.

Dawa hiyo ni adimu kinoma mpaka uende kwa wahindi flani kule K/koo kuna Laboratory yao wana tayarisha moja kwa moja.

Ulizia "Hindu Mandal" ila sharti uandikiwe na daktari ndo watakubali kukuuzia hiyo dawa.
 
Back
Top Bottom