Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh. Mkuu pakaga mafuta hata makalio. Kalio gumu kama gome la mwembe.
Mengineyo ngoja wausika waje.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Duuuh. Mkuu pakaga mafuta hata makalio. Kalio gumu kama gome la mwembe.
Mengineyo ngoja wausika waje.
Pole sana mkuu ngoja nichekee pembeni kwanza..Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !
Ofisi ganidyu aiseee mkuu ofisi inaungua moto😀😀😀😀
no hii sio bawasili bawasili ni hemoroids inflamation huu ugonjwa ni wart unasababishwa na human papiloma virus kutokana na sababu hizi kutumia public shower,working with affected meat,low immunity N.KBawasili ndio jina la huo ugojnwa wako
Hiyo ni Genital warts.(masundo sundo)Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !