πππAya chukua Spring moja ishikilie mbele kimbia kwa nguvu ukajigongeshe kwenye ukuta na ilo liSpring.
Ngao/bull zenyewe zinazowekwa kwny magari ikitokea ajali kubwa ni hatari kishenzi,ile shock yote ya ajali inaenda kua absorbed kwa abiria.
Aya chukua Spring moja ishikilie mbele kimbia kwa nguvu ukajigongeshe kwenye ukuta na ilo liSpring.
Unajua bull bar ninaziongelea hapa ni Aftermarket? zinazowekwa kwny ma landcruiser/discovery ambayo hayakuja na hizo bulls kutoka kiwandani?Kwani ngao zikitolewa shock inakuwa haitokei...mzee kuna psysics kichwani humo.
Practical Mzee.Meneja ushauri gani huu?
AiseeUnajua bull bar ninaziongelea hapa ni Aftermarket? zinazowekwa kwny ma landcruiser/discovery ambayo hayakuja na hizo bulls kutoka kiwandani?
Jua kwanza tofauti ya Aftermarket vs OEM,then rudi ulingoni.
Shock inakua inanguzwa na mabati/vyuma vinavyojikunja wakati wa ajali, kama kuna ngao shock inakuja nzima nzimaKwani ngao zikitolewa shock inakuwa haitokei...mzee kuna physics kichwani humo.
Mbona gari ikipiga bonde haipai sana ilihali INA spring chiniKwa maelezo yako hizo zitakuwa ni coillspring,kama ulivyoeleza hizo spring zitakuwa na nguvu sana,ikitokea ajali dereva atarushwa mpaka nje kupitia kioo cha nyuma.kama kuna gari nyuma na ipo spindi itamkanyaga.
Ni matukio tofauti sana, impact ya gari ikipita kwenye bonde nitofauti na impact ya gari inapogonga kitu kwa kasi ikiwa kwenye speed upande wa mbele.Mbona gari ikipiga bonde haipai sana ilihali INA spring chini