Huu ni ugunduzi wangu utaookoa abiria wasife ktk ajali hasa kwenye magari yenye bonet 'pua' kama VX V8, Land Cruiser za Polisi na kadhalika

Huu ni ugunduzi wangu utaookoa abiria wasife ktk ajali hasa kwenye magari yenye bonet 'pua' kama VX V8, Land Cruiser za Polisi na kadhalika

Kwani ngao zikitolewa shock inakuwa haitokei...mzee kuna physics kichwani humo.
Ngao/bull zenyewe zinazowekwa kwny magari ikitokea ajali kubwa ni hatari kishenzi,ile shock yote ya ajali inaenda kua absorbed kwa abiria.
 
Kwani ngao zikitolewa shock inakuwa haitokei...mzee kuna psysics kichwani humo.
Unajua bull bar ninaziongelea hapa ni Aftermarket? zinazowekwa kwny ma landcruiser/discovery ambayo hayakuja na hizo bulls kutoka kiwandani?

Jua kwanza tofauti ya Aftermarket vs OEM,then rudi ulingoni.
 
Aise

Aisee
 
Kwani ngao zikitolewa shock inakuwa haitokei...mzee kuna physics kichwani humo.
Shock inakua inanguzwa na mabati/vyuma vinavyojikunja wakati wa ajali, kama kuna ngao shock inakuja nzima nzima
 
Kwa maelezo yako hizo zitakuwa ni coillspring,kama ulivyoeleza hizo spring zitakuwa na nguvu sana,ikitokea ajali dereva atarushwa mpaka nje kupitia kioo cha nyuma.kama kuna gari nyuma na ipo spindi itamkanyaga.
Mbona gari ikipiga bonde haipai sana ilihali INA spring chini
 
Back
Top Bottom