Huu ni ujanja au ushamba?

Unatokaje na Huna hata Mia aisee, nguvu hiyo unaitoa wapi?!
Mimi nikiwa sina hela atleast kiasi fulani sitoki kwenda maeneo ya kula bata maana unaweza toka na mtu akishalewa anabadilika, kama huna akiba yako utaaibika bure na hata kama unayo tayari inavuruga bajeti yako.
 
kama sina hela ya pemben, nitatafuta sabab ya kutoonana na mwenzangu adi aelewe,inaepusha aibu ndogo ndogo kam izo.
Hii imekaa poa ila inategemea pia na mtu ulie nae japo kumuamini binadam ni kazi.

Mwaka 2020 kuna dada alikuja na jamaa yake, dada alikuwa hatak kutoka ila jamaa akafosi mwisho wa siku kalewa kamaliza akiba yote na bill haijawa full paid, jamaa akazima hajielewi. Kuna jamaa alikuwa pembeni anausoma mchezo mwsho wa siku akaclear ile bili yote na akaondoka na yule dada, jamaa yake akalipiwa tax akiwa hoi akapelekwa nyumbani.
 
๐Ÿ˜‚ dah watu wanaiba kitaalam sana
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„akili mtu wangu,, kwenye kulazimishwa apo pia lazma ujifkirie nawew maana wanaume bwanaaaaa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
mradi anapumua bwan ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa tufanyeje tukiwaacha wanabaka mboga(kuku)
๐Ÿ˜‚ mboga tena duh
Usipende kwa kumuonea mtu huruma, ipo siku hiyo huruma itaisha.
 
Kama movie vile.

Kikao Chetu Huyu Mwanaume wa Zambia alihudhuria kwa Njia ya Zoom Meeting.

Alielewa vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ