Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

Unatokaje na Huna hata Mia aisee, nguvu hiyo unaitoa wapi?!
Mimi nikiwa sina hela atleast kiasi fulani sitoki kwenda maeneo ya kula bata maana unaweza toka na mtu akishalewa anabadilika, kama huna akiba yako utaaibika bure na hata kama unayo tayari inavuruga bajeti yako.
 
kama sina hela ya pemben, nitatafuta sabab ya kutoonana na mwenzangu adi aelewe,inaepusha aibu ndogo ndogo kam izo.
Hii imekaa poa ila inategemea pia na mtu ulie nae japo kumuamini binadam ni kazi.

Mwaka 2020 kuna dada alikuja na jamaa yake, dada alikuwa hatak kutoka ila jamaa akafosi mwisho wa siku kalewa kamaliza akiba yote na bill haijawa full paid, jamaa akazima hajielewi. Kuna jamaa alikuwa pembeni anausoma mchezo mwsho wa siku akaclear ile bili yote na akaondoka na yule dada, jamaa yake akalipiwa tax akiwa hoi akapelekwa nyumbani.
 
kuna jamaa mmoja alikua hana hela ya kunyoa ikabidi aingie mtaani akakutana na dogo anacheza cheza hawajuani akamwambia dogo twende tukanyoe akaenda nae saloon akaanza kunyoa yeye dogo yuko pembeni alivyomaliza akamwambia kinyozi amnyoe na dogo , wakati anamnyoa dogo jamaa akaondoka kinyozi akajua atamrudia dogo kumbe muhuni ndo kasepa.
😂 dah watu wanaiba kitaalam sana
 
Hii imekaa poa ila inategemea pia na mtu ulie nae japo kumuamini binadam ni kazi.

Mwaka 2020 kuna dada alikuja na jamaa yake, dada alikuwa hatak kutoka ila jamaa akafosi mwisho wa siku kalewa kamaliza akiba yote na bill haijawa full paid, jamaa akazima hajielewi. Kuna jamaa alikuwa pembeni anausoma mchezo mwsho wa siku akaclear ile bili yote na akaondoka na yule dada, jamaa yake akalipiwa tax akiwa hoi akapelekwa nyumbani.
😄😄akili mtu wangu,, kwenye kulazimishwa apo pia lazma ujifkirie nawew maana wanaume bwanaaaaa🙌🏾🙌🏾
 
Kama movie vile.

Kikao Chetu Huyu Mwanaume wa Zambia alihudhuria kwa Njia ya Zoom Meeting.

Alielewa vizuri sana.
 
Back
Top Bottom