Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #41
Mimi nikiwa sina hela atleast kiasi fulani sitoki kwenda maeneo ya kula bata maana unaweza toka na mtu akishalewa anabadilika, kama huna akiba yako utaaibika bure na hata kama unayo tayari inavuruga bajeti yako.Unatokaje na Huna hata Mia aisee, nguvu hiyo unaitoa wapi?!