Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #21
Ushauri wa hadhi ya nyota tano kabisa mkuu.Mi Huwa nawaambia vijana hasa wa kike!
Kwenye maisha waache kuwapa wengine dhamana ya maisha yao!!yaani waache kubweteka wakijua Kuna mtu fulani atabeba dhamana ya maisha yake!!
Sisi hatupendi kubeba Dem ambae Hana Cha maana Cha ku offer zaidi ya uchi wake,was aina hiyo tunajua ana bei yake no Bora akajiuze tujue ni kahaba!!
Tunapenda ke anaetupa changamoto za kiuchumi na future hata ukizaa name unajua totoz zipo kwenye safe hands!!
Hata akiwa Hana kazi lazima nimtafutie Cha kufanya hata kiduka atauza ajue mzunguko wa uchumi upoje!
Akizingua baada ya kujipata unatafuta mwingine!simple tu!!
Shida ya walio wengi wanapenda wagharamiwe kila kitu, uwezo wa kutengeneza kipato chao wenyewe ni zero kila kitu mpaka gharama zote zikamilishwe na wanaume, hii ni mbaya sana kumtegemea binadam sio kabisa.