Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

Mi Huwa nawaambia vijana hasa wa kike!

Kwenye maisha waache kuwapa wengine dhamana ya maisha yao!!yaani waache kubweteka wakijua Kuna mtu fulani atabeba dhamana ya maisha yake!!

Sisi hatupendi kubeba Dem ambae Hana Cha maana Cha ku offer zaidi ya uchi wake,was aina hiyo tunajua ana bei yake no Bora akajiuze tujue ni kahaba!!

Tunapenda ke anaetupa changamoto za kiuchumi na future hata ukizaa name unajua totoz zipo kwenye safe hands!!

Hata akiwa Hana kazi lazima nimtafutie Cha kufanya hata kiduka atauza ajue mzunguko wa uchumi upoje!

Akizingua baada ya kujipata unatafuta mwingine!simple tu!!
Ushauri wa hadhi ya nyota tano kabisa mkuu.

Shida ya walio wengi wanapenda wagharamiwe kila kitu, uwezo wa kutengeneza kipato chao wenyewe ni zero kila kitu mpaka gharama zote zikamilishwe na wanaume, hii ni mbaya sana kumtegemea binadam sio kabisa.
 
Lazima mkimbiwe heh mnakula chakula cha kijiji kizima.? Mbwa wao heeh maisha yangu sijawahi kula chakula kama hiki hata mimi silipi . Dah kama majamaa fulani walinipeleka mahali tukala eti wamemaliza wananipoint nikawaambia sawa nikajilipia nikasepa hao wadada wajinga sana wapuuzi shenzi
 
Wamekaushwa wao 😂

Sahihi sana mkuu, imagine hao watu wazima wawili wameshindwa kuafford walichokula, ni aibu na hii ipo sana kwenye jamii zetu.
mkuu malezi malezi malezi ni kitu muhimu sana kuzingatia...... tuna kundi la watu wanaopenda vya bure au kuamini wao wanastahili kuhudumiwa japo hawana mchango kwenye kipato wanachokwenda kutumia....

ila hata sisi wanaume tunakwama sana tunawaendekeza kisa wanatupa utelezi ndio maana kuendelea ni ngumu sana maana tunatumiaga hata kile ambacho hatujakitafuta au tunakopa tukatumie..... ukichunguza sana hawa watu wanaokopa mitandaoni hela wanatumia kwa starehe wakiamini muda wa kurudisha watakwepa kulipa
 
Lazima mkimbiwe heh mnakula chakula cha kijiji kizima.? Mbwa wao heeh maisha yangu sijawahi kula chakula kama hiki hata mimi silipi . Dah kama majamaa fulani walinipeleka mahali tukala eti wamemaliza wananipoint nikawaambia sawa nikajilipia nikasepa hao wadada wajinga sana wapuuzi shenzi
Bado upo da maua.?
 
kuna jamaa mmoja alikua hana hela ya kunyoa ikabidi aingie mtaani akakutana na dogo anacheza cheza hawajuani akamwambia dogo twende tukanyoe akaenda nae saloon akaanza kunyoa yeye dogo yuko pembeni alivyomaliza akamwambia kinyozi amnyoe na dogo , wakati anamnyoa dogo jamaa akaondoka kinyozi akajua atamrudia dogo kumbe muhuni ndo kasepa.
 
mkuu malezi malezi malezi ni kitu muhimu sana kuzingatia...... tuna kundi la watu wanaopenda vya bure au kuamini wao wanastahili kuhudumiwa japo hawana mchango kwenye kipato wanachokwenda kutumia....

ila hata sisi wanaume tunakwama sana tunawaendekeza kisa wanatupa utelezi ndio maana kuendelea ni ngumu sana maana tunatumiaga hata kile ambacho hatujakitafuta au tunakopa tukatumie..... ukichunguza sana hawa watu wanaokopa mitandaoni hela wanatumia kwa starehe wakiamini muda wa kurudisha watakwepa kulipa
Mabadiliko yanahitajika mkuu vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya.
 
Back
Top Bottom