Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

sasa nawaza ntaenda wapi, nmeghairi nabaki tu nje naskia kugumu😂😂
Jichanganye ujute, we unamuona bichwa maji kuna wenzio wanamuendea kwa mwamposa ukimdrop tu wanamchukua 😂
 
tujenge jamii isio tegemezi.... malezi ni jambo la msingi sana kufundisha watoto kula au kutumia wanachoweza lipia kiufupi kukaa ndani ya uwezo wako......... na hii sio kwa wanawake tu hata vijana wengi wanapenda kitonga
Naunga mkono hoja
 
Nyie mnaosema tuwafunze watoto wetu wa kike kujilipia bills zao maana yake tuwafunze kuishi bila wanaume ili wawe single mothers si ndio?

Mwanamke anayejua kujilipia bills zake hatoona umuhimu kuwa kuwa na mwanaume kama kiongozi wake wa maisha,mshauri na provider.

Cha msingi ni kuwafunza mabinti zetu kujua tofauti ya mahitaji yao ya msingi na tamaa. Kutamani vitu visivyo na ulazima na vipo nje ya uwezo wao ndio matokeo yake wanapitia shida kama hizi.

Its okay kutoka out, its okay kununua simu ya bei, its okay kuvaa vizuri, but kama hivi vitu hawajapata isiwe lawama kwa mwanaume tena kijana anayejipanga kimaisha.

Tuwaonyeshe maisha bila hivi vitu yapoje waweze kuona na sio Maisha ya kutamani vitu hovyo hovyo na hawana uwezo wa kuvipata bila utaratibu. Tamaa ni mbaya sana na hilo wafundishwe.
 
Hakika mkuu na hii mbegu ipandwe mapema vinginevyo akishakua kubadilika ni kazi.
Kabisa mkuu nikikaangalia kabinti kangu na hili wimbi la wahuni na ugumu wa maisha , ndio napata hasira yakukawekezea ,vitu ambavyo hata kuja kubabaishwa na vigari used hata siku moja.
 
Kuna wengine wazazi wao wanawawezesha ila wao ndio wanapenda kuwa omba omba na kutia huruma.
 
Nyie mnaosema tuwafunze watoto wetu wa kike kujilipia bills zao maana yake tuwafunze kuishi bila wanaume ili wawe single mothers si ndio?

Mwanamke anayejua kujilipia bills zake hatoona umuhimu kuwa kuwa na mwanaume kama kiongozi wake wa maisha,mshauri na provider.

Cha msingi ni kuwafunza mabinti zetu kujua tofauti ya mahitaji yao ya msingi na tamaa. Kutamani vitu visivyo na ulazima na vipo nje ya uwezo wao ndio matokeo yake wanapitia shida kama hizi.

Its okay kutoka out, its okay kununua simu ya bei, its okay kuvaa vizuri, but kama hivi vitu hawajapata isiwe lawama kwa mwanaume tena kijana anayejipanga kimaisha.

Tuwaonyeshe maisha bila hivi vitu yapoje waweze kuona na sio Maisha ya kutamani vitu hovyo hovyo na hawana uwezo wa kuvipata bila utaratibu. Tamaa ni mbaya sana na hilo wafundishwe.
Tuwafundishe kuwa na uwezo wa kujikimu baadhi ya mambo ili wasijeangukia kwenye aibu.
 
Back
Top Bottom