Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #61
😂 dah bora umuache tu sio kwa kumnanga hukoakipasuka ayo maji mbon yataleta mafuriko😂😂na bichwa analooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 dah bora umuache tu sio kwa kumnanga hukoakipasuka ayo maji mbon yataleta mafuriko😂😂na bichwa analooo
Zambia wanafuata maelekezo vyema kabisa 😂Kama movie vile.
Kikao Chetu Huyu Mwanaume wa Zambia alihudhuria kwa Njia ya Zoom Meeting.
Alielewa vizuri sana.
sasa nawaza ntaenda wapi, nmeghairi nabaki tu nje naskia kugumu😂😂😂 dah bora umuache tu sio kwa kumnanga huko
Mimi siwezi naisitoshe haipiti siku lazima nitampata mtu nitaniane so hapanaNitakumis sana ,ila mbona mimi naweza kufanya yangu na bado humu nipo 🤔 .
Jamaa wanachukua na Notes kabisa wakati wa vikao.Zambia wanafuata maelekezo vyema kabisa 😂
😂 ni mfano wa kuigwaJamaa wanachukua na Notes kabisa wakati wa vikao.
Jichanganye ujute, we unamuona bichwa maji kuna wenzio wanamuendea kwa mwamposa ukimdrop tu wanamchukua 😂sasa nawaza ntaenda wapi, nmeghairi nabaki tu nje naskia kugumu😂😂
Sanaa😂 ni mfano wa kuigwa
😂😂sasa unamtisha nani bwana weeee,,,ila kam unaongea ukweli ivJichanganye ujute, we unamuona bichwa maji kuna wenzio wanamuendea kwa mwamposa ukimdrop tu wanamchukua 😂
Naunga mkono hojatujenge jamii isio tegemezi.... malezi ni jambo la msingi sana kufundisha watoto kula au kutumia wanachoweza lipia kiufupi kukaa ndani ya uwezo wako......... na hii sio kwa wanawake tu hata vijana wengi wanapenda kitonga
Picha zinaongeaNini kimetokea
Mwa J anaolewa na hajapona uti grade one mbwa yule...☹️😕Nini kimetokea
Kabisa mkuu nikikaangalia kabinti kangu na hili wimbi la wahuni na ugumu wa maisha , ndio napata hasira yakukawekezea ,vitu ambavyo hata kuja kubabaishwa na vigari used hata siku moja.Hakika mkuu na hii mbegu ipandwe mapema vinginevyo akishakua kubadilika ni kazi.
AsindikizweAkienda Tigo Pesa je?
Hahaa 😅Usile wewe, hiyo bajeti itoshe kwao 😅
Huo ndio unaitwa upendo wa kweliHahaa 😅
Sijui wema huo nitautoa wapi mkuu
Kuna wengine wazazi wao wanawawezesha ila wao ndio wanapenda kuwa omba omba na kutia huruma.Kabisa mkuu nikikaangalia kabinti kangu na hili wimbi la wahuni na ugumu wa maisha , ndio napata hasira yakukawekezea ,vitu ambavyo hata kuja kubabaishwa na vigari used hata siku moja.
Tuwafundishe kuwa na uwezo wa kujikimu baadhi ya mambo ili wasijeangukia kwenye aibu.Nyie mnaosema tuwafunze watoto wetu wa kike kujilipia bills zao maana yake tuwafunze kuishi bila wanaume ili wawe single mothers si ndio?
Mwanamke anayejua kujilipia bills zake hatoona umuhimu kuwa kuwa na mwanaume kama kiongozi wake wa maisha,mshauri na provider.
Cha msingi ni kuwafunza mabinti zetu kujua tofauti ya mahitaji yao ya msingi na tamaa. Kutamani vitu visivyo na ulazima na vipo nje ya uwezo wao ndio matokeo yake wanapitia shida kama hizi.
Its okay kutoka out, its okay kununua simu ya bei, its okay kuvaa vizuri, but kama hivi vitu hawajapata isiwe lawama kwa mwanaume tena kijana anayejipanga kimaisha.
Tuwaonyeshe maisha bila hivi vitu yapoje waweze kuona na sio Maisha ya kutamani vitu hovyo hovyo na hawana uwezo wa kuvipata bila utaratibu. Tamaa ni mbaya sana na hilo wafundishwe.
We tikisa kiberiti tu, muache uone joto ya jiwe kumpata mwingine.😂😂sasa unamtisha nani bwana weeee,,,ila kam unaongea ukweli iv