Huu ni ujanja au ushamba?

Huu ni ujanja au ushamba?

Wewe Lamomy Wewe usiseme hivoo futa mdomo huoo 🀣🀣🀣
Kuna matapeli Wana pumzi za Kipchoge Lamomy.....yaani anahakikisha lazima ujae tu na bili utaclear na kujikimu utampa mwenyewe
Labda wa maporini aiseee!! 🀣🀣
Mimi kwanza nikienda sehemu lazima nibebe pesa ya dharura, halafu simu zangu hazikosi pesa, na zaidi card ya bank ni muhimu.!!

Nikiona mtu anajiuma uma kuclear bill nalipa zote sipendagi kero kabisaaa.!!
 
Aaah Lamooomy πŸ˜‚
Utalipa ndio unataka toa aibu yako sidhani kama utaitoa Kwa Moyo...utatafuta tukio mujarabu irudi nacha usumbufu 🀣🀣
 
tujenge jamii isio tegemezi.... malezi ni jambo la msingi sana kufundisha watoto kula au kutumia wanachoweza lipia kiufupi kukaa ndani ya uwezo wako......... na hii sio kwa wanawake tu hata vijana wengi wanapenda kitonga
Umenena jambo la msingi sana. Tufunze watoto wetu wa kike kujitegemea na kuwa na tahadhari.

Kingine uwazi katika mahusiano. Usitoke na mtu tu unaanza kuagiza. Bila hata kumuuliza bdget yako inamudu kiasi gani ili tusitoke nje ya budget yako.
 
Wenye watoto wa kike tujitahidi sana, hii ni aibu kwa mzazi pia, tunashindwa kulea watoto wetu hadi wanakuwa ombaomba mijini.
 
A weee itakuwa umempenda Kwa Moyo si rahisi Kwa wadada... If you are basi HE IS LUCKY MAN masikhara pembeni HE Is Lucky Man
Mwenzio sina roho ya kimaskini nikwambie.!!
Sina pesa za kutisha ila hizi ndogo za kuclear bill za dinner sijui lunch aaahh hizo ninazo bhana 🀣🀣🀣
 
Mwenzio sina roho ya kimaskini nikwambie.!!
Sina pesa za kutisha ila hizi ndogo za kuclear bill za dinner sijui lunch aaahh hizo ninazo bhana 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣 hebu mwambie mangi akupe fursana hapo halafu lipia
 
Yani kitu nachukia ni kuitwa sehemu niende na rafikiyangu na hata tukiwa tuna safari moja lkn lazima nimwambie aende tutakutana huko mbele
 
Yani kitu nachukia ni kuitwa sehemu niende na rafikiyangu na hata tukiwa tuna safari moja lkn lazima nimwambie aende tutakutana huko mbele
Wifi kwann hutaki kwenda na rafiki yako?? πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishajua unamtengenezea mazingira kaka ili umuharibie uvulana wake πŸ˜œπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Back
Top Bottom