Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Tabu yote ya nini na aibu aliyopata hapo kama jamaa humuelewi unamchana sikutaki πHuyo dada mjanja hapo katengeneza mazingira ya kubania mzigo πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabu yote ya nini na aibu aliyopata hapo kama jamaa humuelewi unamchana sikutaki πHuyo dada mjanja hapo katengeneza mazingira ya kubania mzigo πππ
Labda wa maporini aiseee!! π€£π€£Wewe Lamomy Wewe usiseme hivoo futa mdomo huoo π€£π€£π€£
Kuna matapeli Wana pumzi za Kipchoge Lamomy.....yaani anahakikisha lazima ujae tu na bili utaclear na kujikimu utampa mwenyewe
Hao wadada nao ni wachunaji si umeona rangi vichwani π€£π€£π€£Tabu yote ya nini na aibu aliyopata hapo kama jamaa humuelewi unamchana sikutaki π
Ko hapo tuseme ajali kaziniπππHao wadada nao ni wachunaji si umeona rangi vichwani π€£π€£π€£
Mbwa kala mbwa πππKo hapo tuseme ajali kaziniπππ
Aaah Lamooomy πLabda wa maporini aiseee!! π€£π€£
Mimi kwanza nikienda sehemu lazima nibebe pesa ya dharura, halafu simu zangu hazikosi pesa, na zaidi card ya bank ni muhimu.!!
Nikiona mtu anajiuma uma kuclear bill nalipa zote sipendagi kero kabisaaa.!!
Halafu walaah!!! Naitoa kwa moyo mmoja wala simmind..!! πππAaah Lamooomy π
Utalipa ndio unataka toa aibu yako sidhani kama utaitoa Kwa Moyo...utatafuta tukio mujarabu irudi nacha usumbufu π€£π€£
Kwa nini ukasirike hali ya kuwa chakula kinapita tumboni yaani hapo kwa hasira natafuna mpaka miba ya samakiπππHalafu walaah!!! Naitoa kwa moyo mmoja wala simmind..!! πππ
Umenena jambo la msingi sana. Tufunze watoto wetu wa kike kujitegemea na kuwa na tahadhari.tujenge jamii isio tegemezi.... malezi ni jambo la msingi sana kufundisha watoto kula au kutumia wanachoweza lipia kiufupi kukaa ndani ya uwezo wako......... na hii sio kwa wanawake tu hata vijana wengi wanapenda kitonga
A weee itakuwa umempenda Kwa Moyo si rahisi Kwa wadada... If you are basi HE IS LUCKY MAN masikhara pembeni HE Is Lucky ManHalafu walaah!!! Naitoa kwa moyo mmoja wala simmind..!! πππ
Si ndio hapo sasa π€£π€£π€£Kwa nini ukasirike hali ya kuwa chakula kinapita tumboni yaani hapo kwa hasira natafuna mpaka miba ya samakiπππ
Mwenzio sina roho ya kimaskini nikwambie.!!A weee itakuwa umempenda Kwa Moyo si rahisi Kwa wadada... If you are basi HE IS LUCKY MAN masikhara pembeni HE Is Lucky Man
π€£π€£π€£π€£ hebu mwambie mangi akupe fursana hapo halafu lipiaMwenzio sina roho ya kimaskini nikwambie.!!
Sina pesa za kutisha ila hizi ndogo za kuclear bill za dinner sijui lunch aaahh hizo ninazo bhana π€£π€£π€£
Sinywagi fursana ππππ€£π€£π€£π€£ hebu mwambie mangi akupe fursana hapo halafu lipia
Wifi kwann hutaki kwenda na rafiki yako?? ππYani kitu nachukia ni kuitwa sehemu niende na rafikiyangu na hata tukiwa tuna safari moja lkn lazima nimwambie aende tutakutana huko mbele
Aposto : Nini kimetokea π ππNini kimetokea