isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 824
nakumbuka bifu Kati ya Bob Marley na mzee wa legalized( Peter tosh ) Hili ndo.lilkuwa bifu kubwa kuwahi kutokea ktk music industry.
Bob na tosh walkuwa ktk kundi moja walilo liita the wailers hawa jamaa walipendana sna sana,wimbo.wao wa kwaza uliitwa ONe CUP.of coffee haukufanya vizuri.
mwaka.1966 contradiction ikaaza pale mzee legalized.tosh alipo tunga wimbo uliitwa (stop that train).ukisklza huuu utasikia.sauti ya Bob kwa mbal sna ,Bob hakujua nn mzee tosh alicho mainisha.hadi pale.Peter alipo mwambia Bob kwenye.wimbo ule nukuu
(some living big some.living small ) Bob akajua maana ya verse hyoo
Peter alipo Gundua kuwa Bob amefahamu ile mistari, Peter akasepa zake na hakuishia hapo peter akapiga dogo dongo.lngne.kwa.Bob kuwa bob anapendwa kwasababu eti hand some
Bob akamjibu tosh co alicho fanya diamond, Bob yeye alitunga wimbo.unaitwa could be loved .na nukuu.bahadhi ya mashairi.
don't let me fool even to try to school
we have got a.mind of our own
so go to heel if what you are thinking not right
love would never leave us alone
in.the darkness there must come out to right)
hvyo ndo mwana mziki anatakiwa kujibu upumbafu wa mtu mwinge na sio kutumis media .
Na mshauri bwana mdgo diamond poem is good answer than media wala bwana yule asinge enda ktk chombo kle kuongea kile tulicho kisikliza7bu kuelewa ushairi sio mchezo
badilikeni.
jahman never die