Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

nakumbuka bifu Kati ya Bob Marley na mzee wa legalized( Peter tosh ) Hili ndo.lilkuwa bifu kubwa kuwahi kutokea ktk music industry.

Bob na tosh walkuwa ktk kundi moja walilo liita the wailers hawa jamaa walipendana sna sana,wimbo.wao wa kwaza uliitwa ONe CUP.of coffee haukufanya vizuri.

mwaka.1966 contradiction ikaaza pale mzee legalized.tosh alipo tunga wimbo uliitwa (stop that train).ukisklza huuu utasikia.sauti ya Bob kwa mbal sna ,Bob hakujua nn mzee tosh alicho mainisha.hadi pale.Peter alipo mwambia Bob kwenye.wimbo ule nukuu

(some living big some.living small ) Bob akajua maana ya verse hyoo

Peter alipo Gundua kuwa Bob amefahamu ile mistari, Peter akasepa zake na hakuishia hapo peter akapiga dogo dongo.lngne.kwa.Bob kuwa bob anapendwa kwasababu eti hand some

Bob akamjibu tosh co alicho fanya diamond, Bob yeye alitunga wimbo.unaitwa could be loved .na nukuu.bahadhi ya mashairi.

don't let me fool even to try to school
we have got a.mind of our own
so go to heel if what you are thinking not right
love would never leave us alone
in.the darkness there must come out to right)
hvyo ndo mwana mziki anatakiwa kujibu upumbafu wa mtu mwinge na sio kutumis media .

Na mshauri bwana mdgo diamond poem is good answer than media wala bwana yule asinge enda ktk chombo kle kuongea kile tulicho kisikliza7bu kuelewa ushairi sio mchezo

badilikeni.

jahman never die
 
Nilikua nazungumzia anae dhani kwamba yule bwana ana power kama anavyojiona yeye anakosea, wakati nyuma ya panzia wapo watu wanaompa ile power na akawaona wengine takataka,pengine kipaji chake si chochote si lolote bila hiyo power ya watu flaniflani ndipo nikamtaja Barnaba alivyowatoa wenzie kwa asilimia ndogo ya kipaji chake na asilimia kubwa ya hiyo power ilhal hao aliowatoa hawana kipaji inawezekan hata anaojisifu amewatoa hawana vipaji sema wamepambwa manjonjo plus hiyo power basi akaah wananoga tu maskioni mwetu.
Dada acha chuki kwa kiumbe mwenzako,wakati hajakufanya kitu. Hiyo habari kwamba anawaona wenzie takataka umeitoa wapi .........Na pia acha habari za kudhani wewe kama unachokisema ni kweli basi lete hiyo power hapa.
 
nakumbuka bifu Kati ya Bob Marley na mzee wa legalized( Peter tosh ) Hili ndo.lilkuwa bifu kubwa kuwahi kutokea ktk music industry.

Bob na tosh walkuwa ktk kundi moja walilo liita the wailers hawa jamaa walipendana sna sana,wimbo.wao wa kwaza uliitwa ONe CUP.of coffee haukufanya vizuri.

mwaka.1966 contradiction ikaaza pale mzee legalized.tosh alipo tunga wimbo uliitwa (stop that train).ukisklza huuu utasikia.sauti ya Bob kwa mbal sna ,Bob hakujua nn mzee tosh alicho mainisha.hadi pale.Peter alipo mwambia Bob kwenye.wimbo ule nukuu

(some living big some.living small ) Bob akajua maana ya verse hyoo

Peter alipo Gundua kuwa Bob amefahamu ile mistari, Peter akasepa zake na hakuishia hapo peter akapiga dogo dongo.lngne.kwa.Bob kuwa bob anapendwa kwasababu eti hand some

Bob akamjibu tosh co alicho fanya diamond, Bob yeye alitunga wimbo.unaitwa could be loved .na nukuu.bahadhi ya mashairi.

don't let me fool even to try to school
we have got a.mind of our own
so go to heel if what you are thinking not right
love would never leave us alone
in.the darkness there must come out to right)
hvyo ndo mwana mziki anatakiwa kujibu upumbafu wa mtu mwinge na sio kutumis media .

Na mshauri bwana mdgo diamond poem is good answer than media wala bwana yule asinge enda ktk chombo kle kuongea kile tulicho kisikliza7bu kuelewa ushairi sio mchezo

badilikeni.

jahman never die
DIAMOND alichokifanya ni SAHIHI kwasababu KESHAWAAMBIA mtu anayejiona yeye anataka BUSTA YAKE BASI AONYESHE MOJA KWA MOJA ILI KAMA VIPI WATENGENEZE PESA SIO KUJIFICHA HAIWASAIDII KITU,KWASABABU WAPO KWAAJILI YA KUTENGENEZA MAISHA YAO YA BAADAE NI BORA NIKUBUSTI NIKIWA NAINGIZA PESA NA WEWE UNAINGIZA PESA SIO KELELE KWENYE MITANDAO.Lakini pia kwa yeye kuwapa LIVE itamsaidia sana kwasasa, maana walishazidi kitu kidogo hata wakikwama kwa ujinga wao basi dongo kwa WCB.
 
Nadhani ameelewa huyu Diamond hater mmempa somo la kutosha mi Sina cha kuongezea namshauri akajipange upya aje na statement iliyoshiba ya kwa nn tumchukie Simba
 
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Hajui kuimba, Sawa

Ana roho mbaya, maana anataka yeye awe yeye, Sawa

Ana sauti mbaya , Sawa

Anannunua views, Sawa

Anafanya muziki wa ujanja ujanja , Sawa

Ananunua shows, Sawa

Anaringa, Sawa

Sasa kwanini msimwache na maisha yake, mkafanya yenu - Yaani kwanini msiachane naye mkafanya mabo yenu ????????????????
 
Umezingua buanaaaaa.......

1.Diamond kamuamsha Ali kiba usingizini hilo umesahau?

2.Diamond ndo alie ona Kipaji cha Teckno Leo hii anatamba Afrika na Kuchukua tuzo (Ref:interview ya bdozen na Teckno clouds diamond aliona kipaji cha Teckno kabla hata ya Iyanya)

3.Diamond ndio aliona kipaji cha Ommy Dimpoz na akampa moyoo hadi sasa anasikika

4.Diamond kamtoa Harmonize ambae BSS ilimkataa

5.Diamond kamtoa rayvanny ambae Tip Top ilishindwaa

6.Leo Mavoko anapiga kazi sana sababu Diamond Hadi mziki wake umebadirika!

Tatizo ni kuwa Tanzania hatujawahi kuwa na Star level ya Diamond ndo maana bado yupo usingiziniii sanaaaaaaaa katika haya mambo!!

Watanzania tumezoea mambo ya mila na desturi na Mazoea!!!....Mambo ya Ujamaa yametuathiri sanaaaaa!!! Mbona mastar wa mbelee hawanaga hizi mambo eti ukitoka lazima wenzio nao watoke....kila mtu afe kivyake!!!

Mnasahau mziki ni pesaa.....yeye hapo anatumia kila njia apige pesaaaaa.....Sasa akutoe wewe upige na wewe pesaa kupitia mgongo wake? Piga kivyakoooo!!!!

Tuache uswahiliii game ya mzikii na fitina zimooo,kucheza rafu ruksaaa,
 
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
We ndio una roho mbaya tu na kina dimpoz wako, watu saiz wanataka mziki mzuri fanya mziki mzuri tukusapoti mbona kina DARASA wanapiga kazi nzuri kama [HASHTAG]#muziki[/HASHTAG] goma la jiji na linasapotiwa tuu??
 
Kuna kitu kinaitwa Muziki by darassa ft Ben Pol, yaaani kwa jins ngoma ilivyo kali na haihit kiviiileee ndo huwa naamini huenda figisu + ushirikina ndo vinaitawala industry nowadays
Hau hit huko kwenu mtwara ila huku mjini unapigwa sana kuliko hizo nyimbo za team zenu tena ni #1 trending on YouTube
 
We ndio una roho mbaya tu na kina dimpoz wako, watu saiz wanataka mziki mzuri fanya mziki mzuri tukusapoti mbona kina DARASA wanapiga kazi nzuri kama [HASHTAG]#muziki[/HASHTAG] goma la jiji na linasapotiwa tuu??
Vipi [HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG] au yenyewe inazingua
 
Kutoa wimbo mzuri na kujua kuimba ni kitu kinginena kuifanyia promo wimbo wako ni kitu kingine kama huna hela ya promo utasanda tu ni sawa sawa na ufanye biashara halafu hujitangazi utapata mapato ya kawaida sana tu..lakini sio makubwa
 
siku wasanii wa TZ wakija kujua hilo mziki utakua na thamani sana...
 
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Huyu bwana mond anaweza hata kuuwa iliabaki kwa chati. Ila nina imani muda unakuja yote yatakuwa wazi. Wasafi nilebo mbaya na kazi yake mikuuwa vipaji. Vijana take care
 
Watanzania wengi wanachoweza ni unafiki uongo Na majungu.
 
Kwanza niweke wazi miye sipo timu yoyote ile ila ni mdau wa huu mziki tangu unaanza kukubalika nimekuwa mdau kabla

Prof Jay ajatoka
Gangwe mob, juma nature hawajatoka

Mda mabaga fresh wapo hot nature ajulikani

Enzi za mama mwenye nyumba nk

Sogy dog dog hunter, CAZ T wanasumbua walk man zetu

nk kwaiyo kidogo historia ya mziki huu tangu uanze kulipa naijuia

Sasa nachotaka kusema nini diamond ni msanii mzuri, ana uwezo mzuri sana ila tatizo moja Kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake yeye na uongozi wao hawataki kubali changamoto ambazo ndio zilizowezesha diamond akatoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yake diamond asingetoka

Diamond na uongozi wake hawataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua nafasi ya kimuziki yani msanii asikike kazi zake hii ipo wazi kabisa

Kwaiyo wasanii mnatoa nyimbo angalieni hilo suala katika promo zenu msije kuta nyimbo zenu nzuri ila zinafanyiwa figisu ili zisitambe kwa lengo moja tu nyimbo nzuri zikiwa nyingi basi upo uwezekano jamii ikamzoea diamond nikaona kawaida tu hivyo juhudi zimekuwepo kuhakikisha nyimbo nzuri za wasanii wengine hazipati nafasi ili diamond akiachia wimbo usumbue hii ipo wazi

Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic

Hivyo wasanii angalieni huyu Kijana si mzuri kabisa

Fikilia hizo tabia angekuwa nazo

Dully
Prof
Nk
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu

Yaan natamani ningekua nakuona ulivyokua unaandika huu uzi. Anyway hata wakina Dully, Prof J, TID enzi hizo walikua wakipewa shutuma za kuwa na maringo pindi underground wanapotaka collabo. So what you saying is nothing new. Sisi tutampenda tu Diamond hata mseme kanunua na followers Instagram sisi tutampenda TU. Diamond ni kama Trump even when the whole world is against him, He Always WINS.
Kahangaike sasa na maisha yako naona hali yako ngumu sana
 
heri yangu,hapa namskiliza Dudu Baya ft tid.
 
Na hii nimebaini baada ya huu ugovi wa hawa watu diamond na omy dimpoz yani baada ya dimpoz na kiba kuachia wimbo nyie mmeona kama diamond alipanic hivi kaachia nyimbo kwa fujo

Kaenda media kaongea vitu vya ajabu kwa level yake kimuziki ili budi astilli maneno ila Kijana kapanic
Kiba na Dimpoz waliachia ngoma yao November 05 wakati Diamond na Mavoko waliachia November 22... yaani siku 17 baadae!!! Hebu nisaidie wewe Profesa! Ulitaka akina Diamond wakae miezi mingapi bila ku-release ngoma kwa sababu tu akina Kiba wameachia ngoma?! Wakati Diamond Diamond na Rich Movoko wame-release November 22; Darasa ft Ben Pol ikaja November 23! Kabla hawajakaa sawa ikaja ya Mwana FA & Vanessa!! Sasa ikiwa Diamond aliye-release ngoma baada ya siku 17 tangu wa-release akina Kiba huyu mtu ni mbaya, roho mbaya, hataki wenzake wa-punch, ana-panic... what about wale ambao waliachia ngoma siku au saa chache tangu alipo-release Diamond?! Au aki-release Diamond ndo roho mbaya lakini wengine ku-release hata baada ya Diamond ku-release it's okay!!!
Je wasanii kama kina diamond wangesikika

Ni mtazamo tu yani kuwa na tabia ya wao kutaka kuwa wao tu
Kwanini wajisikie vibaya wakati kila mtu anafanya kazi kivyake? Mtu huwezi kuacha ku-release ngomba eti kwa sababu fulani ka-release na ndio maana hata wasanii wakali kama FA, Vanessa, Darasa, Ben Pol; nao wali-release very close na muda walio-release akina Mavoko... seuze hao ambao walikaa siku 17 bila msanii mkubwa yeyote kuachia ngoma!!!!
 
Kiba na Dimpoz waliachia ngoma yao November 05 wakati Diamond na Mavoko waliachia November 22... yaani siku 17 baadae!!! Hebu nisaidie wewe Profesa! Ulitaka akina Diamond wakae miezi mingapi bila ku-release ngoma kwa sababu tu akina Kiba wameachia ngoma?! Wakati Diamond Diamond na Rich Movoko wame-release November 22; Darasa ft Ben Pol ikaja November 23! Kabla hawajakaa sawa ikaja ya Mwana FA & Vanessa!! Sasa ikiwa Diamond aliye-release ngoma baada ya siku 17 tangu wa-release akina Kiba huyu mtu ni mbaya, roho mbaya, hataki wenzake wa-punch, ana-panic... what about wale ambao waliachia ngoma siku au saa chache tangu alipo-release Diamond?! Au aki-release Diamond ndo roho mbaya lakini wengine ku-release hata baada ya Diamond ku-release it's okay!!!Kwanini wajisikie vibaya wakati kila mtu anafanya kazi kivyake? Mtu huwezi kuacha ku-release ngomba eti kwa sababu fulani ka-release na ndio maana hata wasanii wakali kama FA, Vanessa, Darasa, Ben Pol; nao wali-release very close na muda walio-release akina Mavoko... seuze hao ambao walikaa siku 17 bila msanii mkubwa yeyote kuachia ngoma!!!!
Wameona mond hashuki kwa walivokuwa wanatarajia so asa iv wanalazimisha kwa nguvu ashuke ila kazi anayo kuushinda huu mtihani
 
Halafu nimegundua kubishana na watu kama hawa ni wastage of time... na hakuna kitu ambacho sitaacha kujutia kama kupoteza muda wangu humu last week manake nilikuwa na kazi za watu na wenyewe wanazitaka nami sijazimiliza!!
 
Back
Top Bottom