King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exposure ni shida TanzaniaTukubali tu, mungu alitulaani
Mkapa alitunukiwa U Dr akiwa bado Madarakani mbona hakutumia?Siyo kweli kwamba nchi zote duniani wasomi hawatumii wasifu wa kitaaluma. Uingereza, marekani, Australia, ufaransa, nk wanatumia huo wasifu. Wajerumani ndiyo shida, maana wanatumia mtu akiwa prof. mwenye phd, halafu na ni md, ataanza kujitambulisha na prof, dr. dr fulan fulani. Siyo vibaya wenye phd au professor kujitambulisha kitaaluma.
Mkuu...Dunia nzima, sidhani kama kuna nchi inatumia jina la 'Dkt, Dokta, Dr. Daktari, kama Tanzania! Tena pasi na udhibiti. Hii ni dalili ya 'Educational inferiority complex' (mfundo wa moyoni wa uduni wa taaluma) waliyo nayo hao wanaojiita hivyo, au wanaokubali kuitwa.
Maana ndani ya nyoyo zao wanaamini kuwa wao ni mapepe tu kielimu, na ili kuwa aminisha wengine kuwa wao pia ni wana 'taaluma' katika hilo wanalolifanya, basi huweka/huwekewa hicho kibwagizo.
Tuliishi na Kambarage hapa miaka nenda miaka rudi, kwa kweli wachache sana walijua alikuwa Dokta, tena wa kusoma, si wa 'kutuzwa'. Kila mtu alijua Kambarage ni msomi pale tu alipofungua mdomo kuzungumza, hakuhitajia kibwagizo cha "Daktari'. Hivyo ndivyo usomi unavyotakiwa.
Kwa kweli viongozi wengi duniani ni 'Madokta', ila hadi ufanye utafiti ndiyo utajua hivyo.
Xi Jinping wa China ni Dokta wa Sheria, Narendra Modi wa India ni Dokta wa Elimu, Angela Merkel aliyekuwa Chancellor wa Ujerumani ni Daktari wa Physics, halkadhalika Hassan Rohani wa Iran alikuwa Dokta wa Sheria.
Ukija Afrika: Rais Ameena Gurib wa Mauritius ni Dokta wa Organic Chemistry, Mulatu Teshone wa Ethiopia: Sheria, Alassane Watara wa Cote d'Ivoire: Uchumi, Peter Mutharika, Malawi: Sheria, Mfalme Hassan, Morocco: Sheria.......na hata jrani Wlliam Ruto wa Kenya, tena Udokta wake wa aina yake, Plants Ecology (Wajua hiyo?) lakni kamwe hajiwekei au kuwekewa.
Sasa ingia Tanzania! Ndiyo nikasema hii yaonesha 'Educational inferiority Complex' kwa wataalamu wa maradhi ya nafsi watakwambia!
Ni aibu kujiita Dokta katika nchi ambayo hatutengenezi hata shazia, umeme unakatika kutwa, tukitaka barabara twamwita uncle wetu Mchina! Wakati huo huo eti tuna Vyuo Vikuu vinavyototoa madaktari hata wa Nanotechnology, Biotechnology, Physics.... Ifike mahala tuone haya kuchekwa na walimwengu!
Tuacheni ushamba huu tukidhani kuwa ni 'ujanja' mwingine kutoka Tanzania. La, ni ujinga!
AiseeNchi tumewekeza kwenye kujipendekeza sana, yaani the only way ya watu ku survive nchi hii ni wao kujipendekeza, hatuwezi survive kwa kutumia akili zetu bali kwa kuabudu na kusifu
Dr Biden , Dr Blair .Dunia nzima, sidhani kama kuna nchi inatumia jina la 'Dkt, Dokta, Dr. Daktari, kama Tanzania! Tena pasi na udhibiti. Hii ni dalili ya 'Educational inferiority complex' (mfundo wa moyoni wa uduni wa taaluma) waliyo nayo hao wanaojiita hivyo, au wanaokubali kuitwa.
Maana ndani ya nyoyo zao wanaamini kuwa wao ni mapepe tu kielimu, na ili kuwa aminisha wengine kuwa wao pia ni wana 'taaluma' katika hilo wanalolifanya, basi huweka/huwekewa hicho kibwagizo.
Tuliishi na Kambarage hapa miaka nenda miaka rudi, kwa kweli wachache sana walijua alikuwa Dokta, tena wa kusoma, si wa 'kutuzwa'. Kila mtu alijua Kambarage ni msomi pale tu alipofungua mdomo kuzungumza, hakuhitajia kibwagizo cha "Daktari'. Hivyo ndivyo usomi unavyotakiwa.
Kwa kweli viongozi wengi duniani ni 'Madokta', ila hadi ufanye utafiti ndiyo utajua hivyo.
Xi Jinping wa China ni Dokta wa Sheria, Narendra Modi wa India ni Dokta wa Elimu, Angela Merkel aliyekuwa Chancellor wa Ujerumani ni Daktari wa Physics, halkadhalika Hassan Rohani wa Iran alikuwa Dokta wa Sheria.
Ukija Afrika: Rais Ameena Gurib wa Mauritius ni Dokta wa Organic Chemistry, Mulatu Teshone wa Ethiopia: Sheria, Alassane Watara wa Cote d'Ivoire: Uchumi, Peter Mutharika, Malawi: Sheria, Mfalme Hassan, Morocco: Sheria.......na hata jrani Wlliam Ruto wa Kenya, tena Udokta wake wa aina yake, Plants Ecology (Wajua hiyo?) lakni kamwe hajiwekei au kuwekewa.
Sasa ingia Tanzania! Ndiyo nikasema hii yaonesha 'Educational inferiority Complex' kwa wataalamu wa maradhi ya nafsi watakwambia!
Ni aibu kujiita Dokta katika nchi ambayo hatutengenezi hata shazia, umeme unakatika kutwa, tukitaka barabara twamwita uncle wetu Mchina! Wakati huo huo eti tuna Vyuo Vikuu vinavyototoa madaktari hata wa Nanotechnology, Biotechnology, Physics.... Ifike mahala tuone haya kuchekwa na walimwengu!
Tuacheni ushamba huu tukidhani kuwa ni 'ujanja' mwingine kutoka Tanzania. La, ni ujinga!
Mimi sijalaaniwa. Ni hao!Tukubali tu, mungu alitulaani
Hao wasomi ndiyo utopolo kabsaaKwa kweli inakera sana.unajiita Dr wakati kichwani in mweupe.Umeshindwa kutatua changamoto za umeme,maji,miradi uliyokuwa yakumalizia iliyoanzishwa na mtangulizi wake umeshindwa,mfumuko wa bei n.k.Huo U Dr upo wapi sasa?.kujiita Dr wakati hamna kitu ni kuushusha hadhi usomi
Transformer pia haikumbatiwiVilaza walio pata division Omary na kukimbia shule wakiingia kwenye siasa huanza kutafuta elimu za kuunga unga ili waonekane wasomi kumbe kichwani zero
Wakina Nyerere,Mandela,Nkurumah nk walikuwa na uwezo wa kusimama na kutema nondo za ajabu mpaka una stahajabu uwezo wao wa kupanga hoja na mantiki hawa licha ya kuandikiwa kila kitu lakini bado wanaongea ugoro tu na takataka alafu ndo wapenda heshima za kuitwa Dr
"Chui hakumbatiwi "
Ma Dr uchwaraNi laana ya kuamini Ushirikina zaidi ya kufanya kazi na kuongeza ajira
Asilimia kubwa ni wachawi badala ya kuwa na maendeleo
Kweli hili neno la Dr ningelipiga marufuku kabisa na atakaejiita Dr lazima afanye kitu kitakachoonyesha udokta wake
Majitu yanakariri toka primary ila ukimwambia ametuongezea nini katika cheo chake hajui
Ebu fungua akili yako wewe ni mtu mzima!!!Siyo kweli kwamba nchi zote duniani wasomi hawatumii wasifu wa kitaaluma. Uingereza, marekani, Australia, ufaransa, nk wanatumia huo wasifu. Wajerumani ndiyo shida, maana wanatumia mtu akiwa prof. mwenye phd, halafu na ni md, ataanza kujitambulisha na prof, dr. dr fulan fulani. Siyo vibaya wenye phd au professor kujitambulisha kitaaluma.
Wazee wa kukaririExposure ni shida Tanzania
Wabunifu wana nyimwa vibali kama wale wazee wa iringa standard seven waliotengeneza umeme waoNchi tumewekeza kwenye kujipendekeza sana, yaani the only way ya watu ku survive nchi hii ni wao kujipendekeza, hatuwezi survive kwa kutumia akili zetu bali kwa kuabudu na kusifu