Huu ni ulimbukeni wa kupindukia

Huu ni ulimbukeni wa kupindukia

Dunia nzima, sidhani kama kuna nchi inatumia jina la 'Dkt, Dokta, Dr. Daktari, kama Tanzania! Tena pasi na udhibiti. Hii ni dalili ya 'Educational inferiority complex' (mfundo wa moyoni wa uduni wa taaluma) waliyo nayo hao wanaojiita hivyo, au wanaokubali kuitwa.

Maana ndani ya nyoyo zao wanaamini kuwa wao ni mapepe tu kielimu, na ili kuwa aminisha wengine kuwa wao pia ni wana 'taaluma' katika hilo wanalolifanya, basi huweka/huwekewa hicho kibwagizo.

Tuliishi na Kambarage hapa miaka nenda miaka rudi, kwa kweli wachache sana walijua alikuwa Dokta, tena wa kusoma, si wa 'kutuzwa'. Kila mtu alijua Kambarage ni msomi pale tu alipofungua mdomo kuzungumza, hakuhitajia kibwagizo cha "Daktari'. Hivyo ndivyo usomi unavyotakiwa.

Kwa kweli viongozi wengi duniani ni 'Madokta', ila hadi ufanye utafiti ndiyo utajua hivyo.
Xi Jinping wa China ni Dokta wa Sheria, Narendra Modi wa India ni Dokta wa Elimu, Angela Merkel aliyekuwa Chancellor wa Ujerumani ni Daktari wa Physics, halkadhalika Hassan Rohani wa Iran alikuwa Dokta wa Sheria.

Ukija Afrika: Rais Ameena Gurib wa Mauritius ni Dokta wa Organic Chemistry, Mulatu Teshone wa Ethiopia: Sheria, Alassane Watara wa Cote d'Ivoire: Uchumi, Peter Mutharika, Malawi: Sheria, Mfalme Hassan, Morocco: Sheria na hata jrani Wlliam Ruto wa Kenya, tena Udokta wake wa aina yake, Plants Ecology (Wajua hiyo?) lakni kamwe hajiwekei au kuwekewa.

Sasa ingia Tanzania! Ndiyo nikasema hii yaonesha 'Educational inferiority Complex' kwa wataalamu wa maradhi ya nafsi watakwambia!

Ni aibu kujiita Dokta katika nchi ambayo hatutengenezi hata shazia, umeme unakatika kutwa, tukitaka barabara twamwita uncle wetu Mchina! Wakati huo huo eti tuna Vyuo Vikuu vinavyototoa madaktari hata wa Nanotechnology, Biotechnology, Physics. Ifike mahala tuone haya kuchekwa na walimwengu!

Tuacheni ushamba huu tukidhani kuwa ni 'ujanja' mwingine kutoka Tanzania. La, ni ujinga!

Mkuu mbna majira haya umeleta uzi huu, je kunakitu unazungumzia unakificha? Nyoosha maelekezo EASY, don't hit around the bush
 
Vilaza walio pata division Omary na kukimbia shule wakiingia kwenye siasa huanza kutafuta elimu za kuunga unga ili waonekane wasomi kumbe kichwani zero

Wakina Nyerere,Mandela,Nkurumah nk walikuwa na uwezo wa kusimama na kutema nondo za ajabu mpaka una stahajabu uwezo wao wa kupanga hoja na mantiki hawa licha ya kuandikiwa kila kitu lakini bado wanaongea ugoro tu na takataka alafu ndo wapenda heshima za kuitwa Dr

"Chui hakumbatiwi "
Hao nao kwa sababu wakati wao watu walikuwa wajinga ndio mana

Wenguwepo saivi huyo Nyerere mwenyewe angeonekana kilaza tu

Ni sawa na Pele kwenye soka la ulimwemgu wa leo wa kina Messi na Ronaldo na yeye angekua boya tu
 
Wanasiasa hawanaga mshipa wa aibu hata kidogo
 
Dunia nzima, sidhani kama kuna nchi inatumia jina la 'Dkt, Dokta, Dr. Daktari, kama Tanzania! Tena pasi na udhibiti. Hii ni dalili ya 'Educational inferiority complex' (mfundo wa moyoni wa uduni wa taaluma) waliyo nayo hao wanaojiita hivyo, au wanaokubali kuitwa.

Maana ndani ya nyoyo zao wanaamini kuwa wao ni mapepe tu kielimu, na ili kuwa aminisha wengine kuwa wao pia ni wana 'taaluma' katika hilo wanalolifanya, basi huweka/huwekewa hicho kibwagizo.

Tuliishi na Kambarage hapa miaka nenda miaka rudi, kwa kweli wachache sana walijua alikuwa Dokta, tena wa kusoma, si wa 'kutuzwa'. Kila mtu alijua Kambarage ni msomi pale tu alipofungua mdomo kuzungumza, hakuhitajia kibwagizo cha "Daktari'. Hivyo ndivyo usomi unavyotakiwa.

Kwa kweli viongozi wengi duniani ni 'Madokta', ila hadi ufanye utafiti ndiyo utajua hivyo.
Xi Jinping wa China ni Dokta wa Sheria, Narendra Modi wa India ni Dokta wa Elimu, Angela Merkel aliyekuwa Chancellor wa Ujerumani ni Daktari wa Physics, halkadhalika Hassan Rohani wa Iran alikuwa Dokta wa Sheria.

Ukija Afrika: Rais Ameena Gurib wa Mauritius ni Dokta wa Organic Chemistry, Mulatu Teshone wa Ethiopia: Sheria, Alassane Watara wa Cote d'Ivoire: Uchumi, Peter Mutharika, Malawi: Sheria, Mfalme Hassan, Morocco: Sheria na hata jrani Wlliam Ruto wa Kenya, tena Udokta wake wa aina yake, Plants Ecology (Wajua hiyo?) lakni kamwe hajiwekei au kuwekewa.

Sasa ingia Tanzania! Ndiyo nikasema hii yaonesha 'Educational inferiority Complex' kwa wataalamu wa maradhi ya nafsi watakwambia!

Ni aibu kujiita Dokta katika nchi ambayo hatutengenezi hata shazia, umeme unakatika kutwa, tukitaka barabara twamwita uncle wetu Mchina! Wakati huo huo eti tuna Vyuo Vikuu vinavyototoa madaktari hata wa Nanotechnology, Biotechnology, Physics. Ifike mahala tuone haya kuchekwa na walimwengu!

Tuacheni ushamba huu tukidhani kuwa ni 'ujanja' mwingine kutoka Tanzania. La, ni ujinga!
Wakiacha kujiita au kuitwa hivyo kutakuwa na mabadiliko yote - maendeleo nchini? Je, wewe una kiwango gani cha elimu?
 
We unatia chumvi kwenye kidonda.
 
Dr mwenye changamoto ya afya ya akili, anamtibu kichaa unategemea nini hapo?
 
Mfano wa kueleweka na wa wazi kabisa ni bwana Mwigulu kupewa udaktari wa uchumi halafu kukosa maarifa ya ku stabilize uchumi mdogo kama wa tz ambao nina uhakika wakipewa graduates watano wenye degree ya uchumi au hata diploma, wakachukua maoni ya raia wanaojitambua mitandaoni na uraiani wanaweza kuja na sera na mbinu nzuri za kurecover huu uchumi hata kwa asilimia 60% ndani ya muda mfupi na ukaperform vizuri sana.
 
Dunia nzima, sidhani kama kuna nchi inatumia jina la 'Dkt, Dokta, Dr. Daktari, kama Tanzania! Tena pasi na udhibiti. Hii ni dalili ya 'Educational inferiority complex' (mfundo wa moyoni wa uduni wa taaluma) waliyo nayo hao wanaojiita hivyo, au wanaokubali kuitwa.

Maana ndani ya nyoyo zao wanaamini kuwa wao ni mapepe tu kielimu, na ili kuwa aminisha wengine kuwa wao pia ni wana 'taaluma' katika hilo wanalolifanya, basi huweka/huwekewa hicho kibwagizo.

Tuliishi na Kambarage hapa miaka nenda miaka rudi, kwa kweli wachache sana walijua alikuwa Dokta, tena wa kusoma, si wa 'kutuzwa'. Kila mtu alijua Kambarage ni msomi pale tu alipofungua mdomo kuzungumza, hakuhitajia kibwagizo cha "Daktari'. Hivyo ndivyo usomi unavyotakiwa.

Kwa kweli viongozi wengi duniani ni 'Madokta', ila hadi ufanye utafiti ndiyo utajua hivyo.
Xi Jinping wa China ni Dokta wa Sheria, Narendra Modi wa India ni Dokta wa Elimu, Angela Merkel aliyekuwa Chancellor wa Ujerumani ni Daktari wa Physics, halkadhalika Hassan Rohani wa Iran alikuwa Dokta wa Sheria.

Ukija Afrika: Rais Ameena Gurib wa Mauritius ni Dokta wa Organic Chemistry, Mulatu Teshone wa Ethiopia: Sheria, Alassane Watara wa Cote d'Ivoire: Uchumi, Peter Mutharika, Malawi: Sheria, Mfalme Hassan, Morocco: Sheria na hata jrani Wlliam Ruto wa Kenya, tena Udokta wake wa aina yake, Plants Ecology (Wajua hiyo?) lakni kamwe hajiwekei au kuwekewa.

Sasa ingia Tanzania! Ndiyo nikasema hii yaonesha 'Educational inferiority Complex' kwa wataalamu wa maradhi ya nafsi watakwambia!

Ni aibu kujiita Dokta katika nchi ambayo hatutengenezi hata shazia, umeme unakatika kutwa, tukitaka barabara twamwita uncle wetu Mchina! Wakati huo huo eti tuna Vyuo Vikuu vinavyototoa madaktari hata wa Nanotechnology, Biotechnology, Physics. Ifike mahala tuone haya kuchekwa na walimwengu!

Tuacheni ushamba huu tukidhani kuwa ni 'ujanja' mwingine kutoka Tanzania. La, ni ujinga!
punguza Makasiliko kijana Rais Samia Suluhu anafaa kuitwa Dr Maana amefanya mambo mengi ndani ya muda mfupi sana wa utawala wake kwaiyo punguza makasili lazima tumuite Rais Dr. Samia Suluhu
 
Mkuu mbna majira haya umeleta uzi huu, je kunakitu unazungumzia unakificha? Nyoosha maelekezo EASY, don't hit around the bush
Siyo. Nakemea tabia ya ulimbukeni iliyoshamiri miaka ya hivi karibuni, kiasi miaka 15 iliyopita, ila inaonesha kuota maua!
 
Uongo mtupu
Siyo kweli kwamba nchi zote duniani wasomi hawatumii wasifu wa kitaaluma. Uingereza, marekani, Australia, ufaransa, nk wanatumia huo wasifu. Wajerumani ndiyo shida, maana wanatumia mtu akiwa prof. mwenye phd, halafu na ni md, ataanza kujitambulisha na prof, dr. dr fulan fulani. Siyo vibaya wenye phd au professor kujitambulisha kitaaluma.
 
Uongo mtupu
Ungesoma uzi ukaufahamu kwanza, kabla ya kurukia kujibu ili ujulikane kuwa waweza kujibu, au umeishi nje. Nakushauri, rudia kusoma mara sita hivi, ufahamu!
 
Back
Top Bottom