Huu ni ulimbukeni wa kupindukia

Mkapa alitunukiwa U Dr akiwa bado Madarakani mbona hakutumia?
 
Ogopa tuna Import hadi Midori, tuna import leso za kufutia jasho, yaaani baada ya miaka 60 ya uhuru hatuna Techinolojia ya kuzalisha hata lesso za kufutia jasho , still kuna watu wana jiita Ma Dr, hii nchi ina upumbavu sana plus kujipendekeza kwingi sana
 
Mkuu...

Hongera..
 
Nchi tumewekeza kwenye kujipendekeza sana, yaani the only way ya watu ku survive nchi hii ni wao kujipendekeza, hatuwezi survive kwa kutumia akili zetu bali kwa kuabudu na kusifu
Aisee
 
Wangebakia wale wa PhD za kusomea wabaki na hizo title, zile za kupewa waitwe kwa majina yao tu, hizi digrii za kumuagiza mkuu wa chuo akupe ili abaki kwenye huo uteuzi ni kuidhalilidha nchi na hata we mwenyewe, sijui hawaoni aibu!!!
 
Unayeweza kumwita "Dr" fulani hapa Tanzania kwa jinsi alivyo na maarifa na ufahamu wa juu sana ni Tundu Lissu pekee...

Huyu jamaa hata kama tukimwita Dr Tundu Lissu, honestly the guy deserves it kwa sababu kilicho kwenye kichwa chake na anapokitoa hususani ktk nyanja ya sheria, anastahili kuitwa Dr Tundu Lissu...

Lakini cha ajabu, ukijaribu tu kumwita hivyo, atakutoa baru kama hakujui vile maana hapendi kabisa sifa za kujinga..

Kwa kweli nam - admire sana mtu huyu...
 
Haa haha eti huku tuna Dr Samia Suluhu kwa sababu alizindua daraja la bilioni 7 huko Kibiti...!
 
Dr Biden , Dr Blair .
 
Hao wasomi ndiyo utopolo kabsaa
Wezi na wanunuaji wa mitihan na paperwork
Bora Dr msukuma

]
 
Transformer pia haikumbatiwi
 
Ma Dr uchwara
Mtu yupo kwenye siasa anaitwa Dr hizo desertation, paperwork and course work anafanya muda gani??
Kwa logic ya kawaida unajua hapa kuna usanii umefanyika

Ukisikiliza hotuba yake anayoongea sasa utacheka ovyooo kabsaaa

Anaongea nonsense hadi unajiuliza huyu ni Dr wa nini?????

Daaah hatariiii Sana aibu aibu aibu!!
 
Ebu fungua akili yako wewe ni mtu mzima!!!
Uchawa utakuuwa
Hao uingereza,ufaransa marekan
Wanao jiiita Dr profesa hawapo kwenye siasa uchwara kama huko kwenu Tz

Museven ni Dr lkn hajiiti Dr
Kwa hiyo acha ujinga ujinga wako
 
Exposure ni shida Tanzania
Wazee wa kukariri
Wanazidiwa ubunifu na wale wazee wa iringa standard seven waliotengeneza umeme wao halafu wakanyimwa vibali na hao ma dr.hahahahaha
 
Nchi tumewekeza kwenye kujipendekeza sana, yaani the only way ya watu ku survive nchi hii ni wao kujipendekeza, hatuwezi survive kwa kutumia akili zetu bali kwa kuabudu na kusifu
Wabunifu wana nyimwa vibali kama wale wazee wa iringa standard seven waliotengeneza umeme wao
 
Mbona vitu vingine ni vidogo sana halafu vinamuumiza mtu kichwa?Waacheni watu wajiite au kuitwa watakavyo.Haikupunguzii kitu wala kukuongezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…