Huu ni ulimbukeni wa kupindukia


Mkuu mbna majira haya umeleta uzi huu, je kunakitu unazungumzia unakificha? Nyoosha maelekezo EASY, don't hit around the bush
 
Hao nao kwa sababu wakati wao watu walikuwa wajinga ndio mana

Wenguwepo saivi huyo Nyerere mwenyewe angeonekana kilaza tu

Ni sawa na Pele kwenye soka la ulimwemgu wa leo wa kina Messi na Ronaldo na yeye angekua boya tu
 
Wanasiasa hawanaga mshipa wa aibu hata kidogo
 
Wakiacha kujiita au kuitwa hivyo kutakuwa na mabadiliko yote - maendeleo nchini? Je, wewe una kiwango gani cha elimu?
 
We unatia chumvi kwenye kidonda.
 
Dr mwenye changamoto ya afya ya akili, anamtibu kichaa unategemea nini hapo?
 
Mfano wa kueleweka na wa wazi kabisa ni bwana Mwigulu kupewa udaktari wa uchumi halafu kukosa maarifa ya ku stabilize uchumi mdogo kama wa tz ambao nina uhakika wakipewa graduates watano wenye degree ya uchumi au hata diploma, wakachukua maoni ya raia wanaojitambua mitandaoni na uraiani wanaweza kuja na sera na mbinu nzuri za kurecover huu uchumi hata kwa asilimia 60% ndani ya muda mfupi na ukaperform vizuri sana.
 
punguza Makasiliko kijana Rais Samia Suluhu anafaa kuitwa Dr Maana amefanya mambo mengi ndani ya muda mfupi sana wa utawala wake kwaiyo punguza makasili lazima tumuite Rais Dr. Samia Suluhu
 
Mkuu mbna majira haya umeleta uzi huu, je kunakitu unazungumzia unakificha? Nyoosha maelekezo EASY, don't hit around the bush
Siyo. Nakemea tabia ya ulimbukeni iliyoshamiri miaka ya hivi karibuni, kiasi miaka 15 iliyopita, ila inaonesha kuota maua!
 
Uongo mtupu
 
Uongo mtupu
Ungesoma uzi ukaufahamu kwanza, kabla ya kurukia kujibu ili ujulikane kuwa waweza kujibu, au umeishi nje. Nakushauri, rudia kusoma mara sita hivi, ufahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…