Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana harusi mwenyewe hajapenda, ujinga tu. Mwanaume aliyeoa anatambulika kwa matendo sio mabango.Huyu mwanamke aliyempa mume wake jezi iliyoandikiwa "NIMEOA" katika sherehe ya harusi anaweza kuwa alikusudia nini?
View attachment 3116752
Licha unaweza kwenda kuangalia mpira ukiwa umevaa hilo bango?Wanawake hawapendi kutuona wanaume tukiwa na furaha
Siwezi kuvaa hiyo jezi, wanawake huwa wanakujaribu taratibu usikubaliane na matakwa yake kirahisi rahisi hapo ningemchana ukweli kuwa umezingua, akikutikisa mara moja ukatikisika utakuta na shati zako zote nyuma kakuandikia hivyoLucha unaweza kwenda kuangalia mpira ukiwa umevaa hilo bango?