Huu ni uoga wa kuibiwa mume au utani tu?

Ebhanaeeee bonge la bango hio jezi lazima itapotea
 
Duh,hatari sana,ndoa za mwendo Kasi ,ukute huyo bibi harusi ameshapitiwa na jemba zaidi ya 30 halafu analeta pigo za kishamba mbele ya umma
 
Mwanamke wa dizaini hii siwezani nae hawa ndo wale uko bize unavuta mkokoteni kifua wazi mchana kutwa alafu unakuta kakutumia meseji kama 300 alafu amekuandikia "Najua uko bize na malaya zako ndo maana haujibu meseji zangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…