GE2025 Huu ni uonevu mkubwa, angalia data za Tanga kwa Ummy Mwalimu

GE2025 Huu ni uonevu mkubwa, angalia data za Tanga kwa Ummy Mwalimu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Whatever the reason, hii ina kasoro kubwa

1756099962874.png



FAIRNESS IKO WAPI.

HAWA WANAFANYIZIANA WENYEWE KWA WENYEWE HALAFU CHADEMA UINGIE UCHAGUZI BILA TUME HURU UNATEGEMEA NINI?
Erythrocyte hakuna uchaguzi

1756100124808.png
 
Ummy.alishindwa kusoma alama za nyakati. Alitakiwa awe ameshajiajiri ama.kutafuta ajira nyingine nje ya.siasa.

Ummy alikuwa moja ya mawaziri pendwa wa Hayati Magufuli na magufuli hakukubalika na.wanamtandai.

Pili wizara ya afya ni wizara yenye mipango mingi na.miradi mingi hivyo ni.wizara.mawaziri wengi wanaitaka kwa ajili.ya kujitajirisha.

Tatu . Ummy ana ukaribu sana na.mbunge mwenzie Makamba na hao sio watu.wanaopendwa sana nyakati.hizi.

Ile tape aliyomsema.mama ni kama iliandaliwa kimajungu.kwani wengi wapo.wanaosema mabosi.zao. Na.majungu haya yanatokea hapohapo ccm Tanga mkoa .
 
Mleta mada unajua maana ya kura za maoni?

Uteuzi unafanyika na kamati za uteuzi za chama. Matokeo ya kura za maoni ni maoni tu kama maoni mengine na sio lazima yafuatwe. Heshimuni maamuzi ya chama na mumuunge mkono mgombea aliechaguliwa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu.​
 
Uchaguzi wa Tanzania unaamuliwa na wahuni wachache nashangaa watu wanajichosha Kwa kupigwa na jua wakisubiri kupiga kura
Mwenyekiti wa Mkoa ambaye ni mganga wa mama. Huyu Mwenyekiti hampendi UMMY na majini yake yamemuelekeza ummy akatwe
 
Hii ni miradi ya kimkakati na maigizo ya siasa.

Sidhani kama issue za hawa zinatofauti sana na kile tunachoambiwa kuhusu:
  • Project CHAUMMA
  • Project ACT
  • Project Mpina

 
Wagombea wote Waislamu lakini wametumia neno la Yesu ‘ wa kwanza watakuwa wa mwisho na wale wadhaniwao kuwa wa mwisho watakuwa wa kwanza’

Amen
 
Mleta mada unajua maana ya kura za maoni?

Uteuzi unafanyika na kamati za uteuzi za chama. Matokeo ya kura za maoni ni maoni tu kama maoni mengine na sio lazima yafuatwe. Heshimuni maamuzi ya chama na mumuunge mkono mgombea aliechaguliwa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu.​
Mbumbumbu kabisa wee, wanaopiga hizo kura ni Raia au Halmashauri Kuu ?.

Huyo alopata 80, unadhan anakubalika?
 
Aliyecalculate hizo asilimia alikimbia umande 😅😅😅
 
Naona wamejiandikia tu asilimia 0 mara 1 bila hesabu yeyote hapo nilitaka kushangaa Tanga nayoijua mimi wapige hesabu waende sawa kweli..
 
Kukosekana kwa chama cha upinzani chenye ushawishi kwenye uchaguzi kunaifanya CCM iamue chochote hata kupuuza maamuzi ya wanachama wake wenyewe!

BTW:Hata Kigwangala uchaguzi wa 2010 aliokotwa toka nafasi ya tatu nyuma ya Bashe na Seleli jimbo la Nzega.
 
Ummy Oddo Lengai kabwagwa afanye sasa maisha ya kudhulumu ardhi za watu na mashamba aliyodhulumu ayaendeleze , kula kwa zamu hakuna aloumbiwa njaa
 
Back
Top Bottom