Mwenyekiti wa Mkoa ambaye ni mganga wa mama. Huyu Mwenyekiti hampendi UMMY na majini yake yamemuelekeza ummy akatweUchaguzi wa Tanzania unaamuliwa na wahuni wachache nashangaa watu wanajichosha Kwa kupigwa na jua wakisubiri kupiga kura
Sipigi kura kwenye mstari.Nasubiria ije kuwa tunapiga kura online🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uchaguzi wa Tanzania unaamuliwa na wahuni wachache nashangaa watu wanajichosha Kwa kupigwa na jua wakisubiri kupiga kura
Mbumbumbu kabisa wee, wanaopiga hizo kura ni Raia au Halmashauri Kuu ?.Mleta mada unajua maana ya kura za maoni?
Uteuzi unafanyika na kamati za uteuzi za chama. Matokeo ya kura za maoni ni maoni tu kama maoni mengine na sio lazima yafuatwe. Heshimuni maamuzi ya chama na mumuunge mkono mgombea aliechaguliwa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu.