Huu ni upendeleo ama sheria za mashirikisho ni tofauti?

Wakuu nimefatilia game za Senegal vs Misri na Nigeria vs Ghana nimeona viwanja vipo full mashabiki lakini huku kwetu Simba wameagizwa kuingiza 1/2 uwanja inamaana covid ya kwetu ni kali sana?
Inawezekana kule hakuna COVID-19🦠😷
 
Wakuu nimefatilia game za Senegal vs Misri na Nigeria vs Ghana nimeona viwanja vipo full mashabiki lakini huku kwetu Simba wameagizwa kuingiza 1/2 uwanja inamaana covid ya kwetu ni kali sana?
Ni ujinga wa wa Africa hili swali mm mwenyewe nimejiuliza, inakuwaje kwenye mashindano ya vilabu ndio kuna corona ila timu za taifa corona hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…