OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa amevaa uchi kivipi au unawaza ngono sana.View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii?
Shanga zile kiunoni mkuu zimelambazwa na uzi wa ngozi ya Ngekewa, ukimuona tu oya oya km zoteSasa amevaa uchi kivipi au unawaza ngono sana.
Wewe basi hujui uchi ulivyoView attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii?
Hahaha, spot onLabda ni corporate slut
Ni nani huyo?Toka asifiwe ana kitovu kizur tunakoma sasa