Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

Bwana wee mie mwenyewe nikajua hapa nitaona mrembo nda i ya bikini na butterfly bra kumbe demu mwenyewe kavaa full kabisa
Kwa muktadha wangu bikini na bra👙 bado sio uchi bwashee😆
 
Inawezekana anayesemwa na anayemsema wametoka matabaka tofauti kabisa kiuchumi na kitamaduni.
Watoto wa kishua ndiyo pigo zao hizo, tunawaona wanakua hivyo.
Weekends wanavaa hivyo wanaenda swimming mahotelini, kwenye class parties wanapiga vitop.

Watoto wa masikini tumekua dada zetu wanaambiwa wajifunike mwili mzima ndiyo ustaarabu.
 
Back
Top Bottom