Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Hakuna msaniI kaingia kwenye hizo kazi kwa kibari cha wazazi! Hizo ajira wemepewa na shetani!View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii?