Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

Huu ni usanii gani, usanii kutembea nusu utupu?

Sio Barbie Mia huyu?

Barbie Mia ndo pigo zake hizo, wa mikoani hawawezi mwelewa, yupo bongo bahati mbaya.
 
Kama wewe upendi vitu Kama hivi ujue huna tofauti na wale wakina Delicious.
 
Mademu ya hivi me sitaki bwana juz kati hapa meruka na mmoja aloooh kapipigisha jaramba sijawah ina, hivi hawa wa nyama nyingi wanachelewaga kukojoa au huyu wangu ni bingwa wa kujilipua? Asiwe lilinikalia kwa juu kama linaendesha farasi na lilikuwa halitaki stori yoyote mpaka lilipopiga yowe ya kukojoa....
 
Shemeji yake Billnenga
Kwahilo ngoja ni summarize kwasababu bilnass ni mhuni wa Moscow, basi it's either of the 2 , atakuja kumtomba in the near future or it arledy happened, hichi kitoto ni ka ticking bomb , ONE DAY LITALIPUKA....
 
View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
Labda anafanya sanaa ya mwili,mambo ni mengi siku hizi
Inawezekana anayesemwa na anayemsema wametoka matabaka tofauti kabisa kiuchumi na kitamaduni.
Watoto wa kishua ndiyo pigo zao hizo, tunawaona wanakua hivyo.
Weekends wanavaa hivyo wanaenda swimming mahotelini, kwenye class parties wanapiga vitop.

Watoto wa masikini tumekua dada zetu wanaambiwa wajifunike mwili mzima ndiyo ustaarabu.
Kwa maana hiyo kuvaa mavazi yanayostiri mwili vema ni kiashiria cha umaskini au ?
 
mi sijaona uchi, yuko decently covered, in fact yuko overdressed
Kwa hiyo mjomba mama yako, dada zako kabinti kako na mkeo huvaa namna hii overdressed? Aisee basi kama taifa maadili yamekufa tayari kama hii wengi hamuoni ni shida, miaka 10 tu mingine ijayo tutakuwa kama kina Brazil chupi nje nje na itakuwa ni hali isiyostaajabisha
 
Stop relating everything "indecent" dress code na sex, utaona ni kawaida hata kama lady/your sister/mother wame dress to your indecent definition
 
Kwa maana hiyo kuvaa mavazi yanayostiri mwili vema ni kiashiria cha umaskini au ?
Dhana ya kusitiri mwili imekaa kidini- dini.
Utakubaliana nami kwamba wabongo wengi wakianza kupata pesa wanaliwa na umagharibi mwingi na upungufu wa miiko ya dini za wakoloni.
So, watoto wanakulia mazingira ambayo hawavai hayo magauni marefu kama magunia kwa sababu 'they are not cool'.
Tutamlaumu bite mtu ambaye amekua maisha yote anavaa short pants na vimini endapo tufategemea abadikike ghafla aanze kuvaa kama masista wa kanisani.
 
Stop relating everything "indecent" dress code na sex, utaona ni kawaida hata kama lady/your sister/mother wame dress to your indecent definition
There you go now, Going off when the script was flipped to include your family but it is pretty normal when it is just any other girl on the street.
 
There you go now, Going off when the script was flipped to include your family but it is pretty normal when it is just any other girl on the street
Men seeing women’s bodies as inherently sexual, hii ni "psychopathy"!
 
Dhana ya kusitiri mwili imekaa kidini- dini.
Utakubaliana nami kwamba wabongo wengi wakianza kupata pesa wanaliwa na umagharibi mwingi na upungufu wa miiko ya dini za wakoloni.
So, watoto wanakulia mazingira ambayo hawavai hayo magauni marefu kama magunia kwa sababu 'they are not cool'.
Tutamlaumu bite mtu ambaye amekua maisha yote anavaa short pants na vimini endapo tufategemea abadikike ghafla aanze kuvaa kama masista wa kanisani.
Uko vizuri mkuu!
 
View attachment 3198530
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
Screenshot_20250124_025755_Instagram.jpg
Screenshot_20250124_025757_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom