[emoji23] Mkuu weka agenda za kikao
1,tumeanza lini kupenda wanaume wenzetu kiasi hiki???
2,kulala kifuani kwa mwanaume mwenzio,mbaya zaidi unaishiwa nguvu[emoji20][emoji20][emoji20].
3,kulia kwa furaha kwenye kifua cha mwanaume mwenzako.
4,unaambiwa omba pesa,unaomba laki 6[emoji2960][emoji2960],yaani ni kama hukuwa tayari aumie mfuko sababu yako, maana una mapenzi ya dhati[emoji1][emoji1]
5,kubadiri dini kumfuata mwanaume mwenzako,sio kwa kukushawishi kwa hoja laa,ili uwe upande wake tu[emoji3525][emoji3525].
6,tumeshuhudia wadada kibao wakichora tatoo za wanaume wanaowapenda,ila mwanaume inakuwaje aanzie familia yetu[emoji853][emoji853][emoji853].
kabla dogo hajajibu hizi hoja naona atakuwa keshachezea kerbu kadhaa kabla mzee na masister hawajaingilia kati[emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji51][emoji51][emoji51].