Huu ni ushabiki au ujinga ?

Huu ni ushabiki au ujinga ?

Aisee Dai kampa milioni huyo mtoto..na amesema biashara yake atakayoanzisha watakuwa wanampostia. Sijui na mimi nikachore[emoji85][emoji85][emoji85]
 
mambo ya kulia kifuani kwa mwanaume utayaona dar tu[emoji28][emoji28][emoji28].

yaani huyu mpuuzi angekuwa mdogo wangu,angefika home ningeitisha kikao cha familia.
😂 Mkuu weka agenda za kikao
 
[emoji23] Mkuu weka agenda za kikao

1,tumeanza lini kupenda wanaume wenzetu kiasi hiki???

2,kulala kifuani kwa mwanaume mwenzio,mbaya zaidi unaishiwa nguvu[emoji20][emoji20][emoji20].

3,kulia kwa furaha kwenye kifua cha mwanaume mwenzako.

4,unaambiwa omba pesa,unaomba laki 6[emoji2960][emoji2960],yaani ni kama hukuwa tayari aumie mfuko sababu yako, maana una mapenzi ya dhati[emoji1][emoji1]

5,kubadiri dini kumfuata mwanaume mwenzako,sio kwa kukushawishi kwa hoja laa,ili uwe upande wake tu[emoji3525][emoji3525].

6,tumeshuhudia wadada kibao wakichora tatoo za wanaume wanaowapenda,ila mwanaume inakuwaje aanzie familia yetu[emoji853][emoji853][emoji853].

kabla dogo hajajibu hizi hoja naona atakuwa keshachezea kerbu kadhaa kabla mzee na masister hawajaingilia kati[emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji51][emoji51][emoji51].
 
Angekuwa mdg au mtoto wangu angechezea nakoz sana......Sasa mtoto kama huyo kuharibika si rahisi kabisa
Haya mamuziki yamewaharibu sana watoto wengi muonekano wao siyo

Ova
 
Back
Top Bottom