Huu ni ushahidi kuwa lugha ya kiswahili hakijitoshelezi (ina uhaba mkubwa wa misamiati)

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.

Veranda-BARAZA

Cabinet-BARAZA La Mawaziri

House of Representative-BARAZA La Wawakilishi

Ward Tribunal-BARAZA La Kata

Court Assessors-Wazee wa BARAZA

Rejea pia BARAZA la madiwani.

Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lugha inayoitwa kiswahili, watanzania wanazungumza mjumuiko wa lugha mbalimbali, na hcho kiswahili kinachosemwa kamwe hakiwezi kustand alone na mtu akaelewa..sa hv maneno ya kingereza yanatumika sana kwenye maongezi ya watu na kadr taif linavyozidi kuwa na wasomi wengi lugha ya kingereza itajichomeka kwa kiasi kikubwa....kiswahili bado hakijajitosheleza kuitwa Lugha....
 
😳🙄😳🙄
 
Wewe jamaa umeathirika na kiingereza!! Kwa nini ulete mlinganisho wa kingereza na kiswahili halafu eti unasema kiswahili kina upungufu wa misamiati! Haya toa hayo maneno ya kiingereza halafu uyaache ya kiswahili kama wenyewe hatutaelewa!! Acha hizo mambo!

una chemka.lugha yeyote ina tabia ya kukopa au kuchukua maneno kutoka lugha nyingine.mfano neno laki limetoka kwa wahindi.soma vizuri tabia za lugha
 
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.

Veranda-BARAZA

Cabinet-BARAZA La Mawaziri

House of Representative-BARAZA La Wawakilishi

Ward Tribunal-BARAZA La Kata

Court Assessors-Wazee wa BARAZA

Rejea pia BARAZA la madiwani.

Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo lugha yoyote duniani ili ijitosheleze inapimwa kwenye kingereza?
 
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.

Veranda-BARAZA

Cabinet-BARAZA La Mawaziri

House of Representative-BARAZA La Wawakilishi

Ward Tribunal-BARAZA La Kata

Court Assessors-Wazee wa BARAZA

Rejea pia BARAZA la madiwani.

Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili hakijotosheleze hata kwenye masomo ya science meneno mengi tunatumia ya kiingereza kwa kujidanganya eti tunaongea kiswahili mifuano ni mingi tu...........wanasiasa wanalazimisha kiswahili kiwe lugha ya academics and administration ila hakijitosheleza kingebaki kua lugha ya Biashara na kisiasa hapa kijamii (dini) Tz......kama Waganda wanao tumia lugha yao ya kiganda katika biashara na siasa kuunganisha jamii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa umeathirika na kiingereza!! Kwa nini ulete mlinganisho wa kingereza na kiswahili halafu eti unasema kiswahili kina upungufu wa misamiati! Haya toa hayo maneno ya kiingereza halafu uyaache ya kiswahili kama wenyewe hatutaelewa!! Acha hizo mambo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mleta thread hujamuelewa vizuri.
Kwa kifupi ni kwamba msamiati wa Lugha yetu ya Kiswahili bado ni mdogo, hilo halipingiki.
Mfano: kiswahili kina neno moja 'tabasamu', lakini kwa Kiingereza utakuta yapo maneno takribani kama sita hivi yakimaanisha tabasamu lakini based on facial expression.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.

Veranda-BARAZA

Cabinet-BARAZA La Mawaziri

House of Representative-BARAZA La Wawakilishi

Ward Tribunal-BARAZA La Kata

Court Assessors-Wazee wa BARAZA

Rejea pia BARAZA la madiwani.

Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabla ya kuleta mada yako,ulitakiwa utafute au ujue nini maana ya tamko "BARAZA".

Pili,neno moja kuwa na maana zaidi ya moja hili ni jambo la kawaida na huwa linatumika kulingana na mahali. Na huko si kuwa na msamiati mchache. Rudi kwenye asili.

Nipo .....
 
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.

Veranda-BARAZA

Cabinet-BARAZA La Mawaziri

House of Representative-BARAZA La Wawakilishi

Ward Tribunal-BARAZA La Kata

Court Assessors-Wazee wa BARAZA

Rejea pia BARAZA la madiwani.

Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua dume la nguruwe linaitwaje..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mleta thread hujamuelewa vizuri.
Kwa kifupi ni kwamba msamiati wa Lugha yetu ya Kiswahili bado ni mdogo, hilo halipingiki.
Mfano: kiswahili kina neno moja 'tabasamu', lakini kwa Kiingereza utakuta yapo maneno takribani kama sita hivi yakimaanisha tabasamu lakini based on facial expression.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo sio hoja,lugha kwanza huanza kwa wenye lugha,lugha ikiwatosheleza wenye lugha tunasema lugha imejitosheleza na imakidhi haja,lakini pia inaonekana wewe ni mchachefu sana wa msamiati wa kiswahili,kwenye tabasamu pia kuna neno "bashasha" ina maana yake katika jina la "Furaha"

Nipo .....
 
Kiswahili hakijotosheleze hata kwenye masomo ya science meneno mengi tunatumia ya kiingereza kwa kujidanganya eti tunaongea kiswahili mifuano ni mingi tu...........wanasiasa wanalazimisha kiswahili kiwe lugha ya academics and administration ila hakijitosheleza kingebaki kua lugha ya Biashara na kisiasa hapa kijamii (dini) Tz......kama Waganda wanao tumia lugha yao ya kiganda katika biashara na siasa kuunganisha jamii....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii si maana ya kutojitosheleza kilugha,laiti kama Kiswahili kingekuwa hakijitoshelezi basi kisingetutosheleza sisi wewe wenyewe waswahili katika kukitumia.

Ama kuhusu masomo ya kigeni yaani ya kifani,hatusemi kama hakijitoshelezi sababu kila fabi ikija inakuja na lugha yake,ndio maana kuna kuchukua msamiti wa lugha nyingine ili kutimiza lengo au haja.

Nipo ...
 
Hakuna lugha inayoitwa kiswahili, watanzania wanazungumza mjumuiko wa lugha mbalimbali, na hcho kiswahili kinachosemwa kamwe hakiwezi kustand alone na mtu akaelewa..sa hv maneno ya kingereza yanatumika sana kwenye maongezi ya watu na kadr taif linavyozidi kuwa na wasomi wengi lugha ya kingereza itajichomeka kwa kiasi kikubwa....kiswahili bado hakijajitosheleza kuitwa Lugha....
Katika wajinga wewe ni lijinga namba moja, unasema tunakopa maneno ya kiingereza , hivi unajua lugha ya kiingereza imetohoa maneno mangapi kutoka kwenye lugha ya kilatini na kifaransa? Kafanye uchambuzi kisha ndo uje ulete mada zenye mashiko. Lugha nyingi zinakopa maneno kutoka lugha zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.

Veranda-BARAZA

Cabinet-BARAZA La Mawaziri

House of Representative-BARAZA La Wawakilishi

Ward Tribunal-BARAZA La Kata

Court Assessors-Wazee wa BARAZA

Rejea pia BARAZA la madiwani.

Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhaba wa misamiati ni nini wakati kinachoongelewa kinaeleweka??? Shenz type

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom