Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 780
- 2,269
Kwamba wewe elimu ya olevel ulikata hadi imesahau hayo maneno unayoyaita ya kingereza tulikuwa tunasema "comes from Greek word ____"Kiswahili hakijotosheleze hata kwenye masomo ya science meneno mengi tunatumia ya kiingereza kwa kujidanganya eti tunaongea kiswahili mifuano ni mingi tu...........wanasiasa wanalazimisha kiswahili kiwe lugha ya academics and administration ila hakijitosheleza kingebaki kua lugha ya Biashara na kisiasa hapa kijamii (dini) Tz......kama Waganda wanao tumia lugha yao ya kiganda katika biashara na siasa kuunganisha jamii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app