Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
😳🙄😳🙄Hakuna lugha inayoitwa kiswahili, watanzania wanazungumza mjumuiko wa lugha mbalimbali, na hcho kiswahili kinachosemwa kamwe hakiwezi kustand alone na mtu akaelewa..sa hv maneno ya kingereza yanatumika sana kwenye maongezi ya watu na kadr taif linavyozidi kuwa na wasomi wengi lugha ya kingereza itajichomeka kwa kiasi kikubwa....kiswahili bado hakijajitosheleza kuitwa Lugha....
Wewe jamaa umeathirika na kiingereza!! Kwa nini ulete mlinganisho wa kingereza na kiswahili halafu eti unasema kiswahili kina upungufu wa misamiati! Haya toa hayo maneno ya kiingereza halafu uyaache ya kiswahili kama wenyewe hatutaelewa!! Acha hizo mambo!Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata
Court Assessors-Wazee wa BARAZA
Rejea pia BARAZA la madiwani.
Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
una chemka.lugha yeyote ina tabia ya kukopa au kuchukua maneno kutoka lugha nyingine.mfano neno laki limetoka kwa wahindi.soma vizuri tabia za lughaHakuna lugha inayoitwa kiswahili, watanzania wanazungumza mjumuiko wa lugha mbalimbali, na hcho kiswahili kinachosemwa kamwe hakiwezi kustand alone na mtu akaelewa..sa hv maneno ya kingereza yanatumika sana kwenye maongezi ya watu na kadr taif linavyozidi kuwa na wasomi wengi lugha ya kingereza itajichomeka kwa kiasi kikubwa....kiswahili bado hakijajitosheleza kuitwa Lugha....
Kwa hiyo lugha yoyote duniani ili ijitosheleze inapimwa kwenye kingereza?Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata
Court Assessors-Wazee wa BARAZA
Rejea pia BARAZA la madiwani.
Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili hakijotosheleze hata kwenye masomo ya science meneno mengi tunatumia ya kiingereza kwa kujidanganya eti tunaongea kiswahili mifuano ni mingi tu...........wanasiasa wanalazimisha kiswahili kiwe lugha ya academics and administration ila hakijitosheleza kingebaki kua lugha ya Biashara na kisiasa hapa kijamii (dini) Tz......kama Waganda wanao tumia lugha yao ya kiganda katika biashara na siasa kuunganisha jamii....Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata
Court Assessors-Wazee wa BARAZA
Rejea pia BARAZA la madiwani.
Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mleta thread hujamuelewa vizuri.Wewe jamaa umeathirika na kiingereza!! Kwa nini ulete mlinganisho wa kingereza na kiswahili halafu eti unasema kiswahili kina upungufu wa misamiati! Haya toa hayo maneno ya kiingereza halafu uyaache ya kiswahili kama wenyewe hatutaelewa!! Acha hizo mambo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata
Court Assessors-Wazee wa BARAZA
Rejea pia BARAZA la madiwani.
Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua dume la nguruwe linaitwaje..?Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata
Court Assessors-Wazee wa BARAZA
Rejea pia BARAZA la madiwani.
Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mleta thread hujamuelewa vizuri.
Kwa kifupi ni kwamba msamiati wa Lugha yetu ya Kiswahili bado ni mdogo, hilo halipingiki.
Mfano: kiswahili kina neno moja 'tabasamu', lakini kwa Kiingereza utakuta yapo maneno takribani kama sita hivi yakimaanisha tabasamu lakini based on facial expression.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba 60%ya maneno ya kifaransa ni ya kingereza?Hauna hoja, zaidi ya 60% ya maneno ya Kiingereza ni ya Kifaransa, Je, Kiingereza pia hakijitoshelezi?
Kiswahili hakijotosheleze hata kwenye masomo ya science meneno mengi tunatumia ya kiingereza kwa kujidanganya eti tunaongea kiswahili mifuano ni mingi tu...........wanasiasa wanalazimisha kiswahili kiwe lugha ya academics and administration ila hakijitosheleza kingebaki kua lugha ya Biashara na kisiasa hapa kijamii (dini) Tz......kama Waganda wanao tumia lugha yao ya kiganda katika biashara na siasa kuunganisha jamii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika wajinga wewe ni lijinga namba moja, unasema tunakopa maneno ya kiingereza , hivi unajua lugha ya kiingereza imetohoa maneno mangapi kutoka kwenye lugha ya kilatini na kifaransa? Kafanye uchambuzi kisha ndo uje ulete mada zenye mashiko. Lugha nyingi zinakopa maneno kutoka lugha zingineHakuna lugha inayoitwa kiswahili, watanzania wanazungumza mjumuiko wa lugha mbalimbali, na hcho kiswahili kinachosemwa kamwe hakiwezi kustand alone na mtu akaelewa..sa hv maneno ya kingereza yanatumika sana kwenye maongezi ya watu na kadr taif linavyozidi kuwa na wasomi wengi lugha ya kingereza itajichomeka kwa kiasi kikubwa....kiswahili bado hakijajitosheleza kuitwa Lugha....
Uhaba wa misamiati ni nini wakati kinachoongelewa kinaeleweka??? Shenz typeMfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo.
Veranda-BARAZA
Cabinet-BARAZA La Mawaziri
House of Representative-BARAZA La Wawakilishi
Ward Tribunal-BARAZA La Kata
Court Assessors-Wazee wa BARAZA
Rejea pia BARAZA la madiwani.
Huu ni ushahidi wa uhaba mkubwa wa misamiati unaokikumba kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app