Huu ni Ushahidi kuwa Viongozi wetu walipambana Sana. Inaumiza kwa kweli

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?

Msonda alipotufikisha inatosha
Usilie tena leo mechi imerudiwa kwenye uwanja neutral kule Mauritania na matokeo ni kwamba tumefuzu tayari. Wananchi sasa tushushe pressure na tuanze tena kamdomo. Mechi ilitangazwa kwa lugha ya Kingereza.

"DIARA plays a long ball to AUCHO , Aucho dribles and plays a back pass to DICKSON JOB, Dickson to MZIZE , MZIZE dribles outside Mc Alger's box and plays an accurate short pass to Scudu Makudubela, Makudubelaaaaaa shouts a strong ball inside a box!!!!! GOOOOOAAAAAAAAAAAAAL!!!!!⚽

What a beautiful goal is this!!!!! the goalkeeper could little of possibly nothing!!!!!!!

FT

YOUNG AFRICA 1: 0 MC ALGER
 
What a day light dream
 
Back
Top Bottom