Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Msonda alipotufikisha inatoshaViongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
View attachment 3208792
Wewe jamaa ni mbayaaa😃😆😀Msonda alipotufikisha inatosha
Nasikia kwenye timu yao ya taifa anafanya vizuri, the chipolopolo ,the risasi lakini CAF mtihaniWewe jamaa ni mbayaaa😃😆😀
Usilie tena leo mechi imerudiwa kwenye uwanja neutral kule Mauritania na matokeo ni kwamba tumefuzu tayari. Wananchi sasa tushushe pressure na tuanze tena kamdomo. Mechi ilitangazwa kwa lugha ya Kingereza.Msonda alipotufikisha inatosha
What a day light dreamUsilie tena leo mechi imerudiwa kwenye uwanja neutral kule Mauritania na matokeo ni kwamba tumefuzu tayari. Wananchi sasa tushushe pressure na tuanze tena kamdomo. Mechi ilitangazwa kwa lugha ya Kingereza.
"DIARA plays a long ball to AUCHO , Aucho dribles and plays a back pass to DICKSON JOB, Dickson to MZIZE , MZIZE dribles outside Mc Alger's box and plays an accurate short pass to Scudu Makudubela, Makudubelaaaaaa shouts a strong ball inside a box!!!!! GOOOOOAAAAAAAAAAAAAL!!!!!⚽
What a beautiful goal is this!!!!! the goalkeeper could little of possibly nothing!!!!!!!
FT
YOUNG AFRICA 1: 0 MC ALGER
Utopolo ni janga la taifa.Uto Hakuna Mashabiki Wamaana Wao ni mdomo tu
Kuingia Uwanjan nimpaka Wapewe Vyabure