Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Unataka kulazimisha watu waende beach na Hijabu??Swrikali nzima ya Zanzibar ni Waislam watupu, kama dhamira itawasuta. kumsema zuchu wkti huohuo beach zao mpaka watu kutembea uchi wa mnyama tukhsa, wana kadhi mkuu, aliyowa kauli au masheikh wa huko walitowa kauli?
Wote hao wanafik, wanayapenda sana maasi.