Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Swrikali nzima ya Zanzibar ni Waislam watupu, kama dhamira itawasuta. kumsema zuchu wkti huohuo beach zao mpaka watu kutembea uchi wa mnyama tukhsa, wana kadhi mkuu, aliyowa kauli au masheikh wa huko walitowa kauli?

Wote hao wanafik, wanayapenda sana maasi.
Unataka kulazimisha watu waende beach na Hijabu??
 
Watu tuna-deal na mtu anajitafutia mkate wake kwa kuwapa kile kitu wateja wake wanapenda na wala hajawaita wengine wala kuwaambia muangalie..., mnaachana na ku-deal na mashetani wa kweli ambao wanatumia kodi zetu na badala ya kuleta sera za kuwasaidia watu kitaa kujikimu wanaleta maigizo... Watu hao watumishi wetu, walamba asali ndio tunawaita wanaupiga mwingi....

Huenda hata huyu asingefanya haya angeshinda njaa kama majority ya umri wake....;

Nadhani hizo hasira zako zina missfire..., inabidi uzielekeze pengine (kwa watunga sera) sababu kule hauna choice, lakini hapa unaweza usiangalie....
 
Wewe vipi kwani ulitaka apande jukwaani amevaa vitengee ..
Yaani hapo ni sehemu ya burudaa acha watu wapate buradaa na hizo ndio buradaa zenyewe..
Alafu kama wewe sio mpenzi wa hizo usiangalie just skip it!
 
Haya mambo yanafanyika kila sehemu. Zanzibar juzi kwenye tamasha la Zanzibar International Film Festival watu wanatumbuiza ngoma za kitamaduni wameziba maziwa na cha chini na skin tight fupi na vikanga vifupi, na mawaziri walikuwepo na watu wanafurahia burudani bila kuwaza ngono. Angalia hiyo Dubai mzee, wanawake wanakata miuno na watu wanafurahia burudani
 

Attachments

  • 20240914_194125.mp4
    78.2 MB
Back
Top Bottom