Mwafrika mmoja
Senior Member
- Mar 15, 2019
- 104
- 234
😂😂😂Wapenda mteremko wataliwa vichwa hapa
Ni mwendo wa kula bataSerikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari za viongozi
Hivi Gwajima anaweza kukufundisha kutengeneza mafuta ya upako?.Ikiwa kweli unalengo na njia njema ya kuelimisha vijana wenzio kwa nini usitueleze ni skills zipi hizo na pia unafanya kazi katika platform zipi na mchakato mzima ukoje bila kusahau ushahidi wa picha.
Sipo hapa kumsupport mleta mada ila point yake ina mashiko. Mitandao ukijua kuitumia utatoka kimaisha.Yaani nyuzi kama hizi zilitakiwa kua Facebook si Jamii Forum.. kweli JF imeshuka hadhi
Pale mwisho ameandika "Karibu"?Yaani nyuzi kama hizi zilitakiwa kua Facebook si Jamii Forum.. kweli JF imeshuka hadhi
Lugha zenu huwa ni hizi hizi labda kwa mtu asiyewajuaNilikuwa naona tu watu wanasema mitandao inalipa, ila sijui wanafanyaje. Lakini siku moja nikasema nataka kujua inakuwaje ndipo nilipoamua kuchukua hatua
Hiyo ni makusudi. Hapo anataka watu waingine DM awalize.Ikiwa kweli unalengo na njia njema ya kuelimisha vijana wenzio kwa nini usitueleze ni skills zipi hizo na pia unafanya kazi katika platform zipi na mchakato mzima ukoje bila kusahau ushahidi wa picha.
Sasa wewe ulitaka watenge kiasi gani bwashee?Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari za viongozi
Asante Mkuu, wengi hawataki kuchosha akili wanataka niwaambie tu fungua hapa ukibonyeza utapata hela kwenye simu yakoSipo hapa kumsupport mleta mada ila point yake ina mashiko. Mitandao ukijua kuitumia utatoka kimaisha.
Mfano hai mimi mwenyewe kuna jamaa nimemsahau jina lakini zamani alikuwa anaongelea mambo ya Forex na cryptocurrency. Mimi Forex siijui na wala sitaki kuigusa manake ina mambo mengi. Ila kwenye crypto nilipata hela. Pia kuna mwana hapa alitoa ideas flani ya biashara simkumbuki jamaa ila na wish nimjue nimpe asante kwa maono yake aliyo share siku ile.
Asante ..... nipe kichwa na miguu niwekeBandiko lako halina kichwa wala miguu
Ingia kwenye profile yangu nina nyuzi nyingi kuhusu Fiverr nimeeleza ..... ushahidi wa picha niliweka Jamiiforums wameshushaHiyo ni makusudi. Hapo anataka watu waingine DM awalize.
Lipia tangazo?Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI.
Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku.
Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa.
Iko Hivi !!!
Mimi nilikuwa kama wewe,
Nilikuwa naona tu watu wanasema mitandao inalipa, ila sijui wanafanyaje. Lakini siku moja nikasema nataka kujua inakuwaje ndipo nilipoamua kuchukua hatua.
Nikajifunza skills na nikafungua akaunti nikasema siachi mpaka namimi nipate pesa kama wao.
2022 nilifungua akaunti yangu ya kwanza, hapo katikati nilikata tamaa nikarudi tena mpaka nilipoanza kuingiza kipato. Sijapata kingi kama hao wakubwa lakini ninayo stori ya kushare jinsi nilivyopata $6100 ili uone kwamba inawezekana.
Kitu ninachoweza kukwambia leo ni kwamba usikate tamaa, usiogope na huu siyo utapeli. Anza sasa, jifunze na uingie kwenye mchezo na mimi niko tayari kukusaidia.
Karibu !