Huu ni usiku wa mahaba, nawakaribisha watu wote mliosingle mtume salamu kwa wapenzi wenu

Dear Kiganja, daima utakuwa penzi langu la kwanza na la kweli. Hujui kuomba hela, huna kuchoka, huna wivu na size yako daima hubadilika kwa hitaji na takwa langu.
 
Karibuni kwenye jukwaa letu wadau
 
Mama KIDUKU huko huko ulipo nakuzimia kinooma mshikaji wangu.
We ndio komando kipensi wangu, umeniweza mimi, kwako nimejituliza tuli.
Kwanza mahari uliyoiomba naona kama kidunchu mnoo we mtoto wa kike.
Nina mpango wa kila mwaka niwe nakuoa upya, wewe ni mwanamke niliyekuwa nikimsaka maisha yangu yoote..
Kitu cha kuchekesha nimekupata kizeeeembe 😂🤣
Nimeokota dodo kwenye mti wa kimvuli 😂🤣
 
Ok
 
Back
Top Bottom