πππTiming kiaje yaan
π€£π€£π€£π€£Kimasiara jaman
Niweze kulamba asali..ππππTiming kiaje yaan
OkMama KIDUKU huko huko ulipo nakuzimia kinooma mshikaji wangu.
We ndio komando kipensi wangu, umeniweza mimi, kwako nimejituliza tuli.
Kwanza mahari uliyoiomba naona kama kidunchu mnoo we mtoto wa kike.
Nina mpango wa kila mwaka niwe nakuoa upya, wewe ni mwanamke niliyekuwa nikimsaka maisha yangu yoote..
Kitu cha kuchekesha nimekupata kizeeeembe ππ€£
Nimeokota dodo kwenye mti wa kimvuli ππ€£
Majukumu ya ndoa, analea mume[emoji4]
Dah ila shemeji anakojolea pazuriMajukumu ya ndoa, analea mume[emoji4]