Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Salaam jamiiforum.
1.Idadi ya wasio kuwa na hofu ya Mungu inashamiri kwa kasi ya radi.
2.Namba ya wanaokwenda kanisani au Kwa maonesho ya mitindo ya mavazi pamoja na wanavyomiliki na siyo kuabudu inaongezeka kila siku.
3.Idadi ya wanaume wengi wanaonyimwa tendo la NDOA na wake zao ni kubwa ila ni ngumu kujulikana.
4.Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuishi maisha ya kujitegemea na siyo kuishi na mume wakihisi wanabanwa.
5.Idadi ya waajiriwa wasiokidhi vigezo (wenye uwezo mdogo) maofisini inatisha sana.
6.Namba ya wanaotaka pesa Kwa njia ya kafara inaongezeka,ni dhahiri wengi hawana hofu ya Mungu.
7.Zaidi ya asilimia 40 wanaume wengi wameoa single Maza na namba inaongezeka siku hadi siku .
8.Huruma , upendo na kujali vinaporomoka siku hadi siku ,unaweza kupigwa au kukabwa na vibaka na watu wakaangalia tu.
9.Idadi ya NDOA zinazovunjika kila siku ni nyingi mno (na waathirika wengi ni wanaume)
10.Mtu pekee mwenye uchungu na wewe ni Mama yako mzazi (japo siyo wote) huyu kila anachofanya kwako ni Kwa dhati iliyo thabiti
11.Asilimia 80 ya watu tunakutana nao bar na sehemu za starehe ni masikini wa kutupwa ,ukiwatizama Kwa haraka haraka unaweza dhani ni wenye good life,kwanini?
Mtu ana simu mbili kila moja inaanzia milioni mbili mkononi ana saa ya laki na nusu ,mguuni ana kiatu cha laki mbili, jinsi Kali na cheni ya gold shingoni.
Lakini huyu mtu unakuta kapanga chumba kimoja Kodi elfu 50 kwa mwezi ana mke na watoto wawili na Kodi ya meza anaacha kila siku tena pesa isiyozidi elfu Saba za kitanzania
12.Mwanamke ndiye kiumbe ambaye anaweza kuishi na mwanaume asiyempenda hata Kwa zaidi ya miaka 30.lakini mwanaume hawezi ishi na mwanamke asiyempenda hata Kwa siku tatu tu.
13.Zaidi ya asilimia tisini biashara zote zinaendeshwa kishirikina siyo mapadri, masheikh,wachungaji n.k kote shiriki imetamalaki.
14.Tunaaminishwa mwanaume kamili halii wala kudondosha machozi.ila ukweli majabali wengi wanalia tena kilio cha kwikwi
15.Hakuna dawa ya nguvu za kiume ila dawa ni hii ,Kula vizuri,kunywa maji ya kutosha,punguza Mawazo, punguza matumizi ya pombe,halafu tafuta mpenzi anayekupenda.
Ukipinga tafiti ,fanya tafiti.